Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Canada, Bw. Kenneth Sunquist, aliandaa chakula cha mchana kwa niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kumuaga rasmi Mheshimiwa Balozi Peter A. Kallaghe na mke wake Mama Joyce Kallaghe baada ya kuhitimisha kipindi chake cha uwakilishi nchini Canada. Wengine kwenye picha ni maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje, Mabalozi wa baadhi ya nchi za Afrika na Caribbean.

tunakusubiri kwa hamu sana hapa Uingereza.
ReplyDeleteMdau -Ukerewe!!!
Jamani hii couple ya Mheshimiwa Balozi na Mkewe inanimaliza, they are well exposed mtoto wa nyoka ni nyoka manake Balozi Peter ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Balozi Cecil Kallaghe. Wish you all the best in UK
ReplyDeleteKaribu UK lakini chondechonde, CCM iache tu aende nayo Marekani.
ReplyDeleteIjapokuwa siwafahamu Balozi na Mkewe kibinafsi lakini ukweli na tuuseme, Wamependeza saaanaaa!!!!
ReplyDeleteWeweee CCM haiji USA tumwemweleza fika mambo ya UK ayaachie huku huko...HUku hatunyi chai ya jioni....kwa hiyo hatuna muda wa CCM huku
ReplyDeletewewe mshamba kweli, kwani wanakumaliza na nini? mbona ni couple ya kawaida tuu. Usitake kujua mambo yao, waone kwenye picha tuu. Don't judge the book by it's cover.
ReplyDelete