Mkuu wa Studio wa Shirika la Utangazaji TBC1, Mathias Kabisi akionyesha ya kurekodia vipindi iliyokuwa ikitumiwa na shirika hilo kabla ya kupata uhuru wakati wa Maonyesho ya Biashara ya 34 ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa road jijini Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2010

    Naona hapo mchizi hajaelewa kitu. Maana anaonekana kushangaa tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    huo mtambo wameupata wapi? wakati hapakuwepo na tv tanzania? zanzibar pengine walakini tbc haikuwepo!!! utata huo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    HII NI TBC TAIFA MKONGWE WA HABARI NA UTANGAZAJI KATIKA ANGA LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU.HII NI TBC TAIFA IKIKUTANGAZIA KATIKA UASILIA NA LADHA ULIYOIZOEA KWA MIONGO KADHAA NDANI YA STUDIO KONGWE JIJINI DAR ES SALAAM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...