Home
Unlabelled
Benki ya CRDB yaipiga jeki hospitali ya mkoa Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa rasirimali tulizo nazo Tanzania hatuhitaji kusubiri mabank yatusaidie na hivi ndivyo kila kata inatakiwa kuwa na hospitali/zahati zenye mazingira mazuri bila kusahau kitanda kimoja mgonjwa mmoja. Hongereni CRDB,hongera Dk. Kimei lakin pia nyie serikali msiishie kufungua tu . hao wanawasunta na chukulieni km changamoto mkajadiri kwenye vikao vyenu huku bungeni,baraza la mawaziri na kukwingineko kwa mustakabali bora wa watanzania na si kukalia ufisadi. sasa hii usiweeke we michuzi
ReplyDeleteAsanteni CRDB bank, kwa msaada. Ila kwa mtazamo wangu naomba msiandike majina kwenye shuka mgonjwa anaweza asipate nafuu. Kwa mfano unaenda benki ya CRDB kufuatilia malipo yako huku nyumbani umeacha wadeni wanakusubiri, kufika benk hela haijaingia, au chek haijaklia. Ghafla pressure inapanda ama kushuka maru pu chini. Unachukuliwa hadi hospital, kufika unapata huduma ya kwanza, unazinduka, ghafla pembeni unaona tena CRDB , nahisi utazimia tena maana akili inarudi kule kule benki.... Sijui lakini wadau mnasemaje, au andikeni kwenye ufito ili ikitandikwa maandishi hayaonekani, au mnataka mileage kiana?
ReplyDeleteVipi huko nyumbani jamani? Nimetamani Mbege ( hata "Ngera" nikipata nakunywa)
Mdau Kiwoso
Ukerewe
Mdau wa Ukerewe Kiwoso una macho kama mimi, kwakweli branding mbovu, wangeweka kalogo kadogo au hata wangeweka kwenye label ya shuka au wanaogopa zitaibiwa but still sijapenda Kama wa marketing au Pr wanaona fanyeni lirekebisheni hili next time
ReplyDeleteHee hebu waacheni wakitoa zawadi lazima waandike watakavyo..
ReplyDeleteMimiombi langu ni hao wafanyakazi waweze kumainain usafi huo kama ilivyosasa ni jana tu nilikuwa na mwanangu ER nikawanaangalia kulivyo kusafi na nikajiuliza kwanini wenzetu waweze kutunza hivi na siye tunashindwa/
Ukiwapa miezi mitatu hayo mashuka yote yamehamia kwa who knows who...utayakuta tu mtoni yanafuliwa na watu wanyumbani wameshajiibia tayari...
Poor Us
Dah mdau wa UKWEREWENI NOMA. Umenichekesha sana.
ReplyDeletemdau wa ukerewe hujatulia nimecheka kweli
ReplyDelete