Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2010

    hapa kaka michu kidogo umeteleza kibinaadamu utauliza vipi mnaachana lini?inamaana unataka waachane?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2010

    Kaka Michuzi hajateleza ,hilo linaitwa 'swali la kizushi' au kuuliza kisanii.Ameuliza kisanii ili apate jibu la kisanii.Na hiyo yote ni kuleta burudani kwa wanablog.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2010

    michuzi hureeeee! Nimecheka kupita maelezo! me kicheko cha bi Chau huwa kinanivunja mbavu! Asante ankal kwa kutuburudisha! we mdau wa kwanza, michuzi aliliuza hilo swali km swali la kizushi tu! Ili kuwafanya mzee small na bi chau watupe burudani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...