JK akifunua kitambaa kushiria kuzindua rasmi mradi wa maji wa Mugumu Serenget uliofanyika katika bwawa la Manchira, Mugumu,wilaya ya Serengeti mkoa wa Mara leo asubuhi. akikinga maji kwa ajili ya mkazi wa Mugumu Bi Mariam Chacha Matiku muda mfupi baada ya kuzindua rasmi mradi wa Mugumu, Wilayani Serengeti, Mkoani Mara.Wapili kushoto ni Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na kulia ni Mbunge wa Serengeti Dr. Wanyancha


JK akimtwika maji mkazi wa Mugumu Bi Mariam Chacha Matiku muda mfupi baada ya kuzindua rasmi mradi wa Mugumu, Wilayani Serengeti, Mkoani Mara. Wa pili kushoto ni Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya na kulia ni Mbunge wa Serengeti Dr. Wanyancha.
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2010

    Maana yake ni kwamba tunaona ni kawaida maji kubebwa kwenye ndoo kichwani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...