Bitebo hair designer (tatu shoto) akiwa na kikosi
kazi chake cha makao makuu cha Magomeni lango la jiji
ambako wanakula vichwa kama hawana akili nzuri. Hii ni baada ya kupata uzi mpya wa Bitebo (nyekundu) na wa Globu ya Jamii
wadau wa Bitebo Hair Designer tawi la Mwananyamala
Komakoma wakiwa katika ze fulanzzz za Globu ya Jamii
kikosi kazi cha Bitebo Hair Designer tawi la Mwananyamala Komakoma




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2010

    Bitebo nakutafuta sana,mabo ya biashara email yangu ni jasintam@yahoo.com plz tuwasiliane.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...