ONE LOVE, ONE NATION,
PEOPLE GET READY
BONGO FACEBOOK BEACH PARTY
WEEKEND DAR ES SALAAM CALLING!!!!!

SATURDAY AUGUST 7th from 1:00 pm Till Late
AT MBALAMWEZI BEACH CLUB (Ex-Malaika House),
MIKOCHENI KWA WARIOBA ASIDE CINE CLUB
MIKOCHENI,

DJ TONNY FROM TZA feat DJ CHOKA IN THE ONE AND TWO

Saturday august 7th time 1:00pm
Nyama Choma by Special Chefs at Mbalamwezi Beach Club
plus get together party from different friends from
Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, China, India, Malaysia, Rwanda and others
KARIBUNI
KWA MAELEZO ZAIDI
extramilestz@gmail.com
SIMU
077 302 2011
071 355 0699
PROUDLY SPONORED BY:
Sprite (Coke Cola Kwanza),
Zantel, Bunif, Mbalamwezi Beach Club, BASE MAGAZINE
KINDLY SUPPORTED BY:
ISSAMICHUZI.BLOGSPOT,
JIACHIE, G5CLICK.COM,
BONGO CELEBRITY,
BONGO STAR LINK, BAB KUBWA, BONGO5.COM,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2010

    nyie wa bongo vipi kila siku party kwani akuna kingine cha maana cha kufanya !! ebu next time organize something that give back to the society

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2010

    hatutaki !! tupo kwenye uchaguzi !! tumechoka kufungwa macho na starehe tunataka kujenga nchi yetu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2010

    mimi nataka kuuliza mna haki miliki ya kutimia jina facebook ama ndo ki bongo bongo ??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2010

    HAKI MILIKI YA KUTUMIA JINA FACEBOOK INAKUJAJE HAPO MDAU ULIYEULIZA HILO SWALI HAPO JUU NAONA UNACHANGANYA MAMBO HAPA, WAO WANAOENDA KWENYE PARTY HII NI WATU AU MARAFIKI AMBAO WAKO KWENYE FACEBOOK HAWASEMA WAO WANAITWA FACEBOOK? ACHA KUCHANGANYA MAMBO.NI SAWA NA KUSEMA MCHENSTER UNITED FOOTBAL CLUB PATY IN TANZANIA HAKUTAKUWA NA SABABU YOYOTE YA KUWA NA HAKI MILIKI YA KUTUMIA JINA HILO KWENYE PARTY, IT WOULD A MATTER OF GREAT CONCERN IF KAMA WANGEKUWA WAMEANZISHA INTERNET BASED SOCIAL NETWORK NA KUIITA FACEBOOK HAPO UNGEWAULIZA MAMBO YA HAKI MILIKI, LAKINI KWA MFANO UKITUMIA JINA FACEBBOK NA KUANZISHA BIASHARA A HOTEL INAYOITWA FACEBOOK BADO HUITAJI KUWA NA HAKI MILIKI AU KUWAOMBA FACEBOOK WAKURUHUSU KUTUMIA JINA HILO KWA VILE NI BIASHARA BILI TOFAUTI HAZIFANANI SO HAWAWEZI KUKUSHITAKI

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 28, 2010

    ^^^ wewe hapo juu na herufi kubwa, sikiliza peleka upuuzi wako wa kujieleza kwenye vijiwe vya kahawa halafu tafuta viza ukatoe matongotongo hata sauzi ni poa unasikia

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 28, 2010

    Sio kosa lake. Ni matatizo ya kukariri tu darasani hajui anachozungumza..Ati bills tofauti hahahahahahahaha

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 28, 2010

    GOOD POINT MDAU, ANONY JULY28,03:13:00AM

    HUYU MDAU ANAYEJIFANYA KUTUPA DARASA, HAJUI ASEMALO BETA AITE WATOTO AWAIMBIE CHEI..CHEI..!!

    HAPA WANATAKA KUTUHAMISHA MAWAZO YETU KWENYE UPUUZI TU, ZAIDI YA KUFIKILIA UCHAGUZI !!

    HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIII!!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 28, 2010

    Huyo jamaa at 12.54 sijui kama anajua anachosema. Kajaribu hata kutumia herufi kubwa akifiri hoja yake potofu itafika. Nenda basi kafungue hoteli uipe jina Facebook Hotel.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 28, 2010

    NIMEENDA SHULE TENA SI NDOGO SHULE HASA NA NINAJUWA MAANA YA HAKI MILIKI NA NIKO HUKO MAJUU MNAKOSEMA HUWEZI KUZUNGUMZIA HAKI MILIKI ETI KWA MTU KUFANYA PARTY YA FRIENDS FROM A NETWORK VITU KAMA HIVYO VINAFANYIKA SANA KILA SIKU HUKU MAJUU NA WALA SIJASIKIA MTU ANAWAULIZA HAKI MILIKI UHO NI ULIMBUKENI WA KUJIFANYA MNAJUWA VITU AMBAVYO HAMVIJUWI. KUNA MAJINA KIBAO YANAFANANA KWA BIASHARA TOFAUTI NA WATU HAWASHITAKIANI KAMA UNATUMIA JINA SAWA NA MWINGINE KWA BIASHARA HIYO HIYO HAPO NDIPO KITU YA HATI MILIKI LINAPOKUJA NA HATA HIVI KAMA MWANZILISHI WA HILO JINA HAJA REGISTER JINA LA LAKE KWENYE PATENT HAWEZI KUKUSHITAKI, HII KITU NI SHERIA ZAIDI KULIKO MUNAVYOFIKIRIA. KWA TAARIFA ZENU PARTY ZA VITU KAMA HIVYO VYA FACEBOOK KILA SIKU HUFANYIKA HUKO.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 28, 2010

    I think he is not well educated. Kwanza kutumia herufi kubwa though out your message ni ku-shout. Now who are you shouting at lil boy/young girl? Wamgombeza nani hapa sasa? Hebu kuwa na adabu...next time use small letters unless you are beginning a sentence. Grow up! And be careful utakuja mwandikia boss wako kwa herufi kubwa na kazi utafukuzwa. Just a smooth advise.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2010

    HAKUNA SEHEMU YOYOTE KATIKA ART OF WRITING PANAPOSEMA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA NI KUPIGA KILELE NA HAKUNA BOSS YOYOTE ATAKAYE MFUKUZA KAZI MTU ETI KWA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA UNLESS HE OR SHE IS LUNATIC MISSGUIDED INDIVIDUAL. NA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA SI PALE UNAPOANZA SENTENE TO INGAWA HIYO NI MOJAWAPO UNAWEZA KUANDIKA KWA HERUFI KUBWA SEHEMU NYINGI SI UNAPOANZA SENTENCE TU. NENDE UKAREJEE KWENYE ART OF WRITING UTAELEZWA JUU YA HERUFI KUBWA.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 29, 2010

    Yes kuandika kwa herufi kubwa ina maana una shout/yell at someone. Hii nimeisoma kwenye virtual communication skills class just research uta-find out. Na pia niliwahi kufanya kazi ya customer service mahali co-worker wangu alipata kasheshe alimjibu customer online kwa herufi kubwa. Na yeye hakujua pia. Mambo yanabadilika mdau zamani sikuwahi sikia hii lakini it is true. Do not use capital letters like that unless you mean to shout at someone. Ushauri wa bure!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 29, 2010

    Hivi hamna mtu anaye-host makongamano ya vijana kuhamasishwa kuhusu maendeleo ya nchi au self development na vitu kama hivyo. Naona kila siku ni kujirusha tu it is soo sad.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...