Gari la kikosi cha zimamoto cha Faya lenye nambari za usajili STK 4372 likiwa limeanguka mara baada ya dereva wake kushindwa kulikontroo alipokuwa akikwepa gari nyingine iliyokuwa ikivuka ng'ambo ya pili ya barabara maeneo ya magomeni mapipa wakati likiwahi mahala bila shaka kuzima moto kwani king'ora na vimwelumwelu vilisikika na kuonekana kabla ya mzinga huo.
maji yakimwagika.
mseleleko wa gari hilo la Faya mara baada ya kuanguka. Watu watatu waliumia katika ajali hii ambao ni dereva pamoja na askari faya wengine wawili ambao wote walikimbizwa hospital kwa matibabu.
zoezi la uokoaji likiendelea
wakazi wa maeneo ya Magomeni wakiangalia baada ya kutokea kwa ajali hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Madereva wetu wanatakiwa wafundishwe kuhusu umuhimu wa magari ya ambulance na fire hasa pale yanakuwa yakipiga vingora.Nadhani ajali hii isingetoka kama siyo dreva aliyekuwa akitokea upande mwingine kutaka kupita wakati akielewa wazi kuwa gari la fire lilihitajika kwenye dharura au ajali ya moto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2010

    Ndio maana bongo kufa simpo. afande sogeza watu mbali na tukio kwani moto unaweza kuja hapo .

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2010

    uko bongo kweli kuna kazi!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2010

    bongo ni nyumbani na hiyo ni ajali tu inatokea sehemu yeyote hata angani, nb madereva kuweni waangalifu na mueshimu alama za barabarani na vingora vya fire,police,ambulance

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2010

    many drivers think they are in a rally competing each other.here it seems somebody was competing with the faya truck.only god can save us from these reckless drivers.so please say your prayers when you drive anywhere in Bongo,to save you and your family from these killer drivers.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    Ikiwa gari la zimamoto linalo endeshwa huku linapiga kelele linagongwa what chance do regular drivers have on these death streets?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2010

    LISHAPINDUKA HILO HAKUNA JINGINE SUBIRI MOTO UWAKE. ANGALIA HAKUNA HATA LAKUUZIMA MOTO UTAKAO WAKA HAPO.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2010

    NYIE WABEBA BOX ACHENI MAMBO YENU YA KISHAMBA KILA LITU CHA BONGO MNAKIKANDIA...!!!
    ACHENI UFINYU WA MAWAZO NA ULIMBUKENI ULIOWAVAA KWENYE MBONI ZENU ZA MACHO MTAONDOKANA NA UTUMWA WA FIKRA ULIOWAVAA.

    WAHAPA HAPA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...