MAREHEMU MRS.MONICA GRACE MGANGA
Majirani Ndugu na Marafiki zetu wapendwa tunapenda kuwashukuru sana kwa moyo wenu wa huruma na upendo mliotuonyesha katika kipindi kigumu tulichokipitia cha kumpoteza gafla Mama yetu Mpenzi, mmekua mkitufariji kila mara Mwenyezi Mungu awabariki sana,
Haikua rahisi kwetu kuweza kuamini kuwa kipenzi chetu hayuko nasi tena ila kwa msaada wa mugu zilipita saa siku wiki miezi na sasa mwaka mmoja umetimia basi tunaomba mshirikiane na sisi tena katika mkesha siku ya ijumaa ya tarehe 09/07/2010 Nyumbani kwetu Makumbusho kuanzia saa Moja usiku na asubuhi yake tutakua na misa siku ya Jumamosi tarehe 10/07/2010 katika kanisa la Mt Albano upanga saa 3.00 asubuhi na baada ya hapo tutakua na sadaka ndogo ya shukurani ya pamoja hapo hapo kanisani.

Tunawaomba mfike wote muwe pamoja nasi tena kukesha ,kuimba, kusalia na kula pamoja nasi katika kumbukumbu ya Mama yetu Mpenzi
Tunaomba upatapo taarifa hii muarifu na mwingine
Tunawashukuru sana na karibuni sana

Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki sana
Mama Mpenzi tunakukumbuka na Kukuombea kila siku tunakupenda sana na tutakupenda Milele unakumbukwa sana na Mume wako Mpenzi Harold Mganga,Binti zako Jennifer,Angella,Doreen na Miriam. Wakwe zako Robin,John na Amos.Wajukuu zako Joe, Perpetu,Rolenzo, Thomas na Keith
Mwenyezi Mungu ailaze Roho yako Mahali Pema peponi, Amin
Ni Sisi familia ya Mganga

Poleni sana sana!!Familia ya Madenge(Yahya,Masoud,Aman,Shaffy na M`ramba)ingawa msiba umetokea mwaka sasa inawapa pole..hatukua na taarifa.....M/Mungu awape uvumilivu.........(amen).
ReplyDeleteJamani kina Jeniffer na Angella poleni sana kwa msiba wa mama, nilikuwa namfahamu kwani niliwahi kufanya kazi na wote Jeniffer na angella kwa nyakati tofauti. Namshukuru Mungu kwa kuwapa subira. Atazidi kuwajaalia kuwa na moyo mkuu. Nawatakia ibada njema hapo nyumbani makumbusho.... Amos Msanjila (the same name) - London
ReplyDelete