mpiga Malimba wa Bongo Love kutoka Zimbabwe akionyesha umahiri wake wa kukipiga chombo hicho katika tamasha la ZIFF linalofanyika Ngome Kongwe,Zanzirar
Msanii wa bongo freva,Baby J toka Zanzibar akifanya vitu vyake stejini.
Kikundi cha ngoma za asili cha Black Roots nao kutokea hapa hapa Zanzibar wakitoa burudani
Vijana wa Kori Arts kutoka Uingereza nao walifanya vitu vya.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...