Home
Unlabelled
Lift
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Ankel, namna hii ikitokea bahati mbaya wanadondoka tutaita ajali? Na kuna la Driver kuwajibishwa katika hali ya namna hii? Hala atanyang'anywa leseni drive kuwa amesababisha ajali?
ReplyDeleteNapendekeza watoto wa aina hii wakamatwe na kuhukumiwa kwa sheria sawasawa na ambavyo mtu hata akigongwa na train anahesabika ameigonga train. na watiu wa aina hii waadhibiwe kwa sababisha/kutaka kusababisha ajali ndipo wataacha.
Bongo tambalale jamani
ReplyDeleteWataendelea kufungua mabucha kila kukicha watu kama hao! Hapo wakipetwa kidogo tu ni kwenye lami ........tuliiii!
ReplyDeleteSasa hapo bahati mbaya waanguke, halafu kuwe na gari nyingine inakuja kwa kasi,sijui nani atalaumiwa! Vichwa vingine madafu!
ReplyDelete