wawakilishi wetu Ghana wanaingia dimbani masaa machache yajayo. Brazil kutonea kote kule neshno kumbe hamna kitu. onea buji, gombe gopa. Haya tena wadau, harambee ya dua kwa Ghana inahitajika sasa kuliko wakati wowote.
Mungu Ibariki Ghana
Mungu Ibariki Afrika
Mungu zibariki dua zetu
-AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2010

    Dua ndio ina-play part, lakini pamoja na dua pia kinacho-matter ni mazoezi na matayarisho mazuri, huwezi tegemea dua peke yake, kazi na sala.

    Hivyo kama hawakujitayarisha uzuri wajiandae kuunga (tella) trailler la wenzao Brazil, ila kama walijitayarisha tukijumlisha na dua watasongesha kwa wenzao Netherland.

    There is no magic in footie, just skills. Japo kubahatisha nako kumo.

    Anyway, time will tell.

    Nadhani ushanifahamu uzuri.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2010

    Ee Mungu tunaomba uisaidie ghana wawakilishi wa africa wasonge mbele, AMEN!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2010

    KAZI NA SALA.


    SIO BONGO "KAZI NA DAWA (UCHAWI)"

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2010

    Brazil sucked!! and to be honest I don't see Ghana beating Uruguay. The vuvuzelas will be silenced tonight, unfortunately. It's all set for the final between Netherlands and German no doubt.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2010

    Hallo Halloooo!

    Ghana Hoyeeee!

    Uruguay wanalo hilo! Lililowakaa na roho! Halloooo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2010

    Huo uswahili sasa, hatuzungumziimaandalizi,kazi walishafanya,ndiyo maana wamefika hapo.Tunachesema ni kwamba, baada ya maandalizi yao ya nguvu na kufika walipofika,kilichobaki kipo nje ya uwezo wao, na ndiyo maana tunaomba dua washinde. Si umeona Brazil pamoja na maandalizi ya kuwa number one kwenye FIFA rank,lakini bado wamelambwa leo? Haya Ghana wanaongoza sasa 1-0,kipindi cha pili wakiongeza moja tena,kazi imeisha!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2010

    Jamani Y'allah!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2010

    Habari ndio hiyo!

    Watu badala ya kulengesha penalty shoots golini, wanamrushia keeper adake! Walikuwa wanategemea nini?

    Ila wamejitahidi! Katolewa Brazil, sembuse Ghana!

    Haya, mashindano hayana mvuto tena, nitakuwa na-google tu kujua mshindi, siangalii tena! Tena nita-google siku ya fainali yenyewe.

    Kombe laenda Netherland hili nadhani, kama sio Uruguay.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...