
Msanii wa Bongo freva,Dully Sykes akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo katika hotel ya Sayyida kuhusiana na shoo yake ya leo katika tamasha la ZIFF linaloendelea kufanyika katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar

Baadhi ya waandishi wa habari pamoja na wageni waliofika leo katika mkutano uliofanyika katika hotel ya Sayyida,Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...