Kaimu Katibu Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Balozi BEGUM TAJ akiongea leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela
Mhadhiri wa UDSM Prof. Chris Peter Maina akiwakilisha mada katika maadhimisho hayo ya Mandela leo ktk ukumbi wa Karimjee Dar
bango lenye ujumbe kwaajili ya siku ya kuzaliwa Mzee Mandela
baadhi ya wageni wakiwemo mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilsha , maafisa wa UN,pamoja na mabalozi wastaafu na viongozi.
Baadhi ya wanafunzi wa shule za Jijini dar es Salaam wakifuatilia kwa mkini hotuba ya mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    Nelson Mandela's achievements transcend race, culture and creed. His Ideals and accomplishments are a gift to all humanity.

    Nelson Mandela yuko juu kwa sababu wakati viongozi wengine wakigombea madaraka, na kufanya ufisadi ili kupora mali za wananchi wao, Yeye alijitolea maisha yake yapotee bali awapatie wananchi wake uhuru na maisha bora.

    Motivation yake haikuwa mali wala madaraka. Mzee huyu ni statesman wa kweli ambaye hapa Africa simfahamu mwingine wa daraja yake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2010

    HUMFAHAMU MWINGINE, NYERERE JE? NENDA KATIKA POLITICS ZA SOUTH AFRICA KIUNDANI UTAOA MAMBO YALIVYO USISIKILIZE YA JUU JUU TU NENDA NDANI KABISA YA SOUTH AFRICA UTAPATA UKWELI, KWANZA KUNA RACE SEGRAGATION KAMA ZAMANI NA UMASIKINI UMEKUWA KULIKO ZAMANI, WAAFRICA SASA WANAWABAGUWA WAZUNGU NA UMASIKINI KWA WAZUNGU UNAKUWA NA WANANYIMWA KAZI SIMPLY BECAUSE NI WAZUNGU NA WENGINE WANAPUNGUZWA KAZI KWA KISINGIZIO CHA AFRICANISATION HIYO SIYO SAWA NI WRONG NA NI RACISM UNAWEZA KUPATA HABARI HIZI KIRAHISI TU HATAKWA KATIKA YOU-TUBE SOUTH AFRICA HAITAKI HATA WA-AFRICA WENGINE KWENDA KULE KUISHI HAYA NI MAPUNGUFU YA UTAWALA WA SERIKALI KWA MAANA TOKA MWANZO SERIKALI HALIKUWEKA WAZI MCHANGO MKUBWA WA MATAIFA YA AFRICA JUU YA KUPATIKANA KWA UHURU WAO NA ILI NI SERIKALI YA KWANZA KABISA YA KULAUMIWA NA HIYO ILIKUWA CHINI YA MANDELA

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2010

    We mchangiaji wa pili kumbuka: 1. Tangu 1994 serikali ya SA imejenga nyumba wanazoziita 'low-cost housing' zaidi ya milioni moja. 2. 2009 watu 30% zaidi ya 1994 wanapata maji masafi. 3. Katika kipindi hicho hicho kumekuwa na ongezeko la 22% ya nyumba zinazopata umeme. 4. Watu weusi wamepata kwa mara ya kwanza fursa ya uraia kikamilifu. 5. Huwezi kumaliza athari za apartheid kwa miaka 15 tu! USA ni nchi tajiri dunia nzima, lakini zaidi ya miaka 220 baada ya uhuru wao kutoka Britania watu milioni 40 hawana fursa ya tiba, kuna watu milioni sita ambao ni homeless, drugs zimetapakaa, ma-ghetto ndiyo usiseme. SA wameanza vizuri na naamini watafanikiwa. Utawala wa awamu ya Madiba umeitwa "a modern day miracle". I lived there from 1996 to 2004, and I can tell you that you are shamelessly exposing your ignorance - and fallacy in public. you can hate the great man, but the majority of informed denizens of planet earth acclaim him. God bless Mandela. AMANDLA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2010

    Msindi wa tuzo la amani ya nobel. recipient wa honoray doctorates 32 kuoka kontinenti tano. We are proud of Madiba and we join the whole world in wishing him all the best. J. Mosha. Njiro, A-town.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2010

    HE IS A GREAT HUMAN BEING, PROBABLY THE GREATEST EARTHLY BEING I HAVE EVER HEARD AND READ OF. GOD BLESS HIM AND GRANT HIS WISHES!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2010

    JAMANI MSIMPAMBE MANDELA KI HIVYO HAKUFANYA LOLOTE LA MAANA YA ZAIDI YA KUFUNWA MIAKA 28 NA KUFUNGULIWA NA KUWASAMAHE WAZUNGU WALIOMTESA, I MEAN HAKULIZA KISASI, THIS IS THE SAME TO KENYA NDO MAANA KENYA HADI LEO NI KIPENZI CHA WEST JUU YA KENYATTA JAMANI HIVI VITU VIKO WAZI NA SIKU HIZI TUNA INTERNET MNASHINDWAJE KUVISOMA!!! UVUVI SIYO? UNAFIKIRI KAMA ANGEFUNGULIWA NA KUWATIMUWA WAZUNGU ANGESIFIWA HIVYO? NI MEDIA ZA WEST NDIZO ZINAMPAMBA KWA VILE BADO MASHIRIKA YAO YANAFAIDIKI KWA CHUMI ZAO, MFANO NI MUGABE ALIPOCHUKUWA NCHI ALIKUWA KIPENZI CHA WEST ALIPEWA HATA HIZO TUZO ZA MALIKIA HE WAS KNIGHTED ALIPOBADILIKA NA KUANZA KUWANYANG'ANYA WAZUNGU ARDHI NI KINGOZI MOVU DUNIA MZIMA, THE SAME KWA NYERERE ALIPOANZA NA AZIMIO LA ARUSHA NA KUKUBALI MISAADA BILA YA MASHARITI TOKA KOKOTE AKAONEKANA MBAYA, MANDELEA ALIFUNGWA SI KWA SABABU ALIKUWA ANAPIGANIA UHURU KWA KUWA ALIKUWA NA KIKOSI CHA KUUWA WATU HATA WAAFRIKA WENZAKE WALIOKUWA AGAINST NA YEYE NA KIKUNDI CHAKE INGAWA YOTE HIYO ILITOKANA NA PROCESS YA KUDAI UHURU. HII HABARI YA MAJI NA UMEME NI SEHEMU NDOGO SANA HIVI ULIKUWA WAPI WAKATI WA WORLD CUP VYOMBO VYA HABARI VIKIONYESHA HALI HALISI YA SOUTH AFRICA HAYO MAJI NA UMEME NI MIJINI TU, ACHALIA MBALI SOWETO YA LEO BADO NI ILE ILE YA ZAMANI, NCHI YA DEMOKRASIA NA UTAWALA WA HAKI KWA NINI WAKABOMOA VIJUMBA VYA WATU NA KUJENGA STADIUMS NA HATA YA BILA YA KUWAPATIA VIDIA NA HATA YA BILA YA KUWAPELEKA POPOTE WATU WANAISHI MILIMANI KAMA WANYAMA AT OPEN AREAS, HATA KAMA WALIJENGA BILA VIBALI. HIVI MACHO YAKO HAYAKUONA HAYA WAKATI WA KOMBE LA DUNIA OR JUST SIMPLY YOU ARE OBSSESSED WITH MANDELA SIKATAI NI KIONGOZI MZURI BUT MUCH OF IT IS TOO MUCH HE IS NOT THAT AN ANGEL MAN! EBU TUMIENI INTERNET TU KUTAFITI JUU YA AFRICA YA KUSINI YA LEO THE SAME KAMA TANZANIA WATU WACHACHE WANAISHI MAISHA MAZURI KWA WIZI NA UJANJA NA WENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...