chiazzzzzzz....anasema eric gerald Nyinge na mai waifu wake Leah Peter Comalla na wapambe wakati wa mnuso wao usiku huu ukumbi wa Istana baada ya kumeremeta katika kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2010

    Hongera sana Eric na Leah. Mungu awabariki. Nimefurahi sana kuona vijana wangu (Eric na Ng'wangu) mmeoa mwezi huu wa saba. Hongereni sana.

    Mwana-Njossi

    ReplyDelete
  2. Sawasawa........electric sliiide!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...