SALAM KAKA MICHUZI (ANKALI) POLE SANA NA KAZI YA KUENDELEZA LIBENEKE LA GLOBU YA JAMII...KWA KWELI TUMEKUFIKIA ATA HUKU MACHIMBONI..TUNAWAOMBA MUENDELEE HIVYO . SALAM KWA WEWEZAJI WOTEE WA LIBENEKE.

NILIKUA NAOMBA KUTAMBULISHA LIBENEKE LANGU AMBALO NIA NA MALENGO NI KUWAFANYA WATU WAFURAHI PINDI WANAPOHISI KUCHOKA NA KUWEKA AKILI SAWA PALE WANAPOCHOKA NA KAZI NA KUFURAHI KWA UJUMLA....KILA WAKATI NA POPOTE. ASANTE


JINA LA BLOG: CHEKA UPASUKE

KWA PAMOJA TUNAENDELEZALIBENEKE LA GLOBU YA JAMII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2010

    NIMECHEKA KARIBU NIFE, LAKINI NINAWASIWASI KAMA ITAKUWA SUSTAINABLE, I DOUBT ABOUT IT

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    KWA KWELI HAPA SINA MBAVU KABISAA....TUNAOMBA KILA WAKATI TUPATE KIPYAA HAHAHAAAAAAAA.....MAINI YANGU MIMI

    ReplyDelete
  3. ANGALAU UMEKUJA NA IDEA YAKO TOFAUTI....SABABU KILA ANAYEANZISHA BLOG KAZI NI KUIGANA TU....STORI MOJA KWENYE BLOG ZOTE...NO CREATIVITY....GOOD JOB MAN -:)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 26, 2010

    We moko unataka kuvunja mbavu zetu..Kazi nzuri keep it up!!!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    unajifagilia mwenyewe?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...