Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akiwa ni mwenye furaha sana mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo
Miss Vodacom Higher Learning 2010,Frola Martin akipunga mkono mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika usiku huu katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, pili kulia ni mshindi wa pili Pendo Sam na pili kushoto ni Rachel Filbert mshindi wa tatu,kulia ni mshindi wa nne, Judith Osima na kushoto ni mshindi wa tano,Rahma Swai.
Tano Bora
washiriki wote wakiwa wamejipanga kabla ya mchujo wa tano bora
warembo wakionyesha shoo yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...