Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers,Eric Shigongo akiongea kwenye mkutano wa Diaspora 2010 nchini Marekani July 2, 2010 kuhusu kuanza na kufanikiwa kwake katika biashara na wito kwa Watanzania waishio nchini Marekani hivi karibuni. Mkurugenzi wa Global Publishers,Eric Shigongo akipokea tuzo ya shukrani huko nchini Marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2010

    Great message, TZ should be proud of this guy aisee

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    Speak for yourself!

    ReplyDelete
  3. Mzee Ndaga hapo naona umeulamba si mchezo mwanangu!.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2010

    SHOGONGO SIKU NYINGI SANA AMEKUWA AKIANDIKA STORY BOOKS NYNGI TU NILIJUWA AMEFIKA VERSITY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...