kwa mbele
kwa nyumaAnkal.
Heshima kwako mkuu naomba niwekee haka kausafiri kwenye blog yetu.
ina wiki moja toka iingie jijini Dar.
inauzwa kwa sababu mwenye nayo alikosea hakuchagua Automatic Transmission, naye hapendi kutumia manual,hivyo anataka kurudisha gharama zake aangalie altenative ya kupata auto.
Imeingia ikiwa na kilometer 820000Km.
Manual Transmission
Subaru Forester ya mwaka 2004,
Black color
Imesajiliwa Tayari
Bei 16million.
Mawasiliano +255 714 979797
Heshima kwako mkuu naomba niwekee haka kausafiri kwenye blog yetu.
ina wiki moja toka iingie jijini Dar.
inauzwa kwa sababu mwenye nayo alikosea hakuchagua Automatic Transmission, naye hapendi kutumia manual,hivyo anataka kurudisha gharama zake aangalie altenative ya kupata auto.
Imeingia ikiwa na kilometer 820000Km.
Manual Transmission
Subaru Forester ya mwaka 2004,
Black color
Imesajiliwa Tayari
Bei 16million.
Mawasiliano +255 714 979797


Mdau unayeuza gari sina mpango wa kukuharibia soko lako.
ReplyDeleteKwasababu mimi siyo mtaalamu wa mambo ya magari na kwenye maisha yangu sijawahi kumiliki gari, ila tu napenda nijue ni kwasababu gani watu hapa Ulaya hawapendi kusikia habari ya magari Automatic transmission?
Unaitwa uzushi!eti kakosea kuchagua,siuseme tu umenunua ulaya unataka kuuzia wabongo upate faida vile wana zipapatikia.
ReplyDeleteKizushi na wewe wivu tu wa maisha yatakushinda mwanaume kazana kama wenzako, kazi majungu tu.
ReplyDeletewacheti hivyo viroho vya korosho,kama hujawahi kumiliki gari hayo ni matatizo yako,hiyo ulaya ya wapi hawapendi auto,na ndio zimejaa kuliko manual,hata malori sasa mengi ni auto,huwezi kununua kaa kimya,sio kusaga maana hajalazimisha mtu kununua.
ReplyDeleteLAZIMA ENGINE ITAANGUKA CHINI KWA MTU ATAKAEINUNUA. KILOMETA LAKI 8 NA ISHIRINI ELFU?? 820,000KM? AU KUNA MAKOSA YA KUCHAPISHA!
ReplyDeleteHabari yako, hii habari ya magari kuuzwa kwa bei ya Mill 16 umeipata wapi mbona mnapenda sana kubabua watu na bei zenu za ajabu ajabu?.
ReplyDeleteSubaru kama hii inauzwa si zaidi ya Usd 2500 huko japani na tena kama ukitafuta vizuri unaweza kupata mapaka chini ya hapo labda kama ni special option sawa vinginevyo bei yako si ya Kitanzania, hebu tuambie mpaka Mill 16 umenunua kiasi gani, usafiri na ushuru kiasi gani hadi kufikia hizo NOTI?.
Mdau
Gari limetumika balaa KM 820000 c mchezo, peleka vyuma chakavu ndugu
ReplyDeleteMmh!! Ngoja mie nikae pembeni maana nilipoona eti BEI POA niliwahi saana kuikimbia kuangalia! Baada ya kuona bei poa yenyewe Loooh!!! Sijui ni Bei poa ukilinganisha na nini haswa!!!!!! Ok lakini Vidole havilingani!! So aloandika na wengine ni Bei Poa lkn kwa sisi wengine Means different..........
ReplyDeleteNdugu muuzaji, hilo gari kwa hizo kilometa 820,000 ni chuma chakavu, si gari!
ReplyDeleteJAMANI WANAJAMII KUNA MAKOSA SIO KILOMITA LAKI NANE NI ELFU THEMANINI NA 82000KLM
ReplyDeleteKUNAMAKOSA YA KIUCHAPAJI SI KILOMETA LAKI NANE NI ELFU THEMANINI NA MBILI PEKEE 82000KM
ReplyDeleteMDAU WA Tarehe Fri Jul 09, 07:50:00 AM..NINGEPENDA KUKUJULISHA KWAMBA HAKUNA GARI YA MODEL HII UTAIPATA KWA BEI HIYO NINGEPENDA KUPATA DATA ZAIDI ILI KAMA VIPI WENGINE TUAGIZE KUTOKA KWENYE SOURCE YAKO. NISHAWAHI KUAGIZA GARI KAMA HII LAST YEAR NIKIPIGA HESABU ZA USHURU NA UPLIFT ZA JAMAA ZETU WA TRA PAMOJA NA USAJIRI NA KILA KITU JAMA INAPUNGUA SANA NI LAKI NNE HIVI MWENYE UWEZO AJIMWAGE TU
ReplyDeleteBwana Malkiyory ni kwamba, ulaya kwa sababu wana miundombinu mizuri huwa wanapendelea sana magari manual kwa sababu hawakai kwenye mafoleni sana. na pia ni rahisi kumaintain gear box ya manual kuliko ya auto maana ni less electronic.. na la msingi zaidi ni kwamba unasave mafuta zaidi kwa asilimia 3 au zaidi .... na mwisho kabisa kwa dereva anayependa kuendesha manual transimision ina raha zaidi ya auto.
ReplyDeleteFunny thing is wengi wanaosaga hawajawahi kuwa na gari,hawana uwezo wa kununua gari na hawajawahi kuwa na gari.
ReplyDeleteNI KWELI ULAYA HAWAPENDI SANA AUTOMATIC CARS, NDO MAANA HATA BEI AUTO NI CHEAP UKILINGANISHA NA MANUAL HATA SECOND HAND CARS MANUAL NI BEI ZAIDI YA AUTO.
ReplyDelete820,000km ni kwamba imezunguka dunia zaidi ya mara 20
ReplyDelete