Home
Unlabelled
leo ni hepi besdei ya kuzaliwa glory
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Oh dear happy birthday.....
ReplyDeleteShe has beautiful big eyes...wow. What a cuttie. Hongera Glory..
ReplyDeleteHappy birthday Glory its me. Azda
ReplyDeleteMionzi ya Simu hizi zinaumiza ubongo wa watoto kama hawa. Haishauriwi kuwapa simu hizi watoto wadogo.
ReplyDeletehappy birthday beautiful,.. chu chu chuuuu!
ReplyDeleteWewe Anonymous 10:43, nani kakuambia hapo alikuwa anapiga kweli? Hivi kila kitu lazima mutoe kasoro?. Wewe umesoma wapi kuwa simu zinaumiza ubongo? Umesikia tu kwa jirani, unataka kujifanya unajua...
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY MY DEAR!
We anony wa 08:53, MICHUZI katuambia kuwa anapigia simu mashost zake, na pia kubali yaishe SIMU za mikoni sio toy, not adviced for the kids. simu zenyewe za kichina, betri ikipata moto kidogo inalipuka, what will happen kama mtoto kashika hiyo simu ikamlipukia? sio swala la mionzi tu, mnakumbuka yule dada wa kule mbeya aliyefanywa kipofu na simu ya mkononi baada ya betri kulipuka?
ReplyDeleteSIMU YA MKONONI SIO TOY KWA WATOTO JAMANI, GET HER A PHONE TOY TO PLAY WITH IF SHE IS HANDSET ADDICT LIKE MANY OF US.
CHEERS
Hovyooo! hivi we lugha za michuzi huzijui? Mashosti awatoe wapi huyu mrembo?
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY DEAR!
ni kweli simu sio nzuri hata kwa watu wazima pia wataalam wanasema ukitumia mda mrefu zinaweza kukuletea matatizo. mdau wa texas
ReplyDelete