Miss Glory Mroki a.k.a Binti Father Kidevu akiwatwangia simu marafiki zake kuwajulisha mashost zake kuwa yeye leo Julai 24 2010 saa 4 asubuhi ametimiza miaka 2 ya kuzaliwa. Amewaandalia ndafu ya kuku home kwao Ukonga Mombasa mtaa wa Mazizini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2010

    Oh dear happy birthday.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    She has beautiful big eyes...wow. What a cuttie. Hongera Glory..

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2010

    Happy birthday Glory its me. Azda

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2010

    Mionzi ya Simu hizi zinaumiza ubongo wa watoto kama hawa. Haishauriwi kuwapa simu hizi watoto wadogo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    happy birthday beautiful,.. chu chu chuuuu!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    Wewe Anonymous 10:43, nani kakuambia hapo alikuwa anapiga kweli? Hivi kila kitu lazima mutoe kasoro?. Wewe umesoma wapi kuwa simu zinaumiza ubongo? Umesikia tu kwa jirani, unataka kujifanya unajua...

    HAPPY BIRTHDAY MY DEAR!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2010

    We anony wa 08:53, MICHUZI katuambia kuwa anapigia simu mashost zake, na pia kubali yaishe SIMU za mikoni sio toy, not adviced for the kids. simu zenyewe za kichina, betri ikipata moto kidogo inalipuka, what will happen kama mtoto kashika hiyo simu ikamlipukia? sio swala la mionzi tu, mnakumbuka yule dada wa kule mbeya aliyefanywa kipofu na simu ya mkononi baada ya betri kulipuka?

    SIMU YA MKONONI SIO TOY KWA WATOTO JAMANI, GET HER A PHONE TOY TO PLAY WITH IF SHE IS HANDSET ADDICT LIKE MANY OF US.

    CHEERS

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2010

    Hovyooo! hivi we lugha za michuzi huzijui? Mashosti awatoe wapi huyu mrembo?

    HAPPY BIRTHDAY DEAR!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 26, 2010

    ni kweli simu sio nzuri hata kwa watu wazima pia wataalam wanasema ukitumia mda mrefu zinaweza kukuletea matatizo. mdau wa texas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...