www.mamapipiro.blogspot.com.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wenu Dina Ismail.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wenu Dina Ismail.
----------------------------------
Globu ya Jamii inatoa pongezi nyingi kwa Da' Dina Ismail kwa kujichovya kwenye ulimwengu wa libeneke. Tunamtakia kila la heri na mafanikio katika hili na kumtaka asikate tamaa kwani mwanzo mara nyingi huwa mgumu. Tunatoa changamoto kwa kinadada na kinamama kuiga mfano wa wana libeneke wanawake ambao kwa sasa inatia moyo kuona wanavyozidi kuchangamka - Michuzi
This is good...sijapenda hiyo rangi nyekundu lakini nimependa habari zako...
ReplyDeleteNa pia hebu jaribu kuangalia hiyo picha uliyoiweka hapo juu...labda uipunguze pixels manake sijui umetengenezea kwenye screen ya ukubwa gani...Kumbuka watu wanaoaingia kwenye blog yako hawatakua na screen size sawa..Mimi humu naona picha iko kulia habari zipo kushoto...Then ukishuka chini ndio mambo yanaeleweka na kulingana
Ni hayo tu keep up with your good work and I will be back for more
Madam, tafadhali cheki formatting au layout ya hiyo globu yako. Nimejaribu kuifungua kwenye browser tofauti (IE, Firefox na Chrome) kote haidisplay vizuri. Sentensi ziko wima badala ya kwenda from left to right.
ReplyDeleteLaptop display yangu ni 1600 x 900.
Dada Kama alivyosema Anony aliyetangulia, jaribu kufanyaa uchaguzi wa rangi upya, maana rangi uliyoweka kidogo ina mapungufu. Omba msaada kwa watu wanaoweza kukusaidia kudesign graphics. Pia kuhusu size kama alivyosema mdau aliyetangualia ni tatizo.Binafsi nasoma blog kwenye laptop ya 17' lakini kinachotokea ni kuwa picha zote ulizoweka zinajipanga moja chini ya nyingine na maelezo yake yanakaa kushoto yakitengeneza mstari mrefu sana kwenda chini maana mstari ni herifu moja kwenda chini. I wish ningetumia image uone jinsi inasotokea. Kwa hiyo jaribu kufanya marekebisho katika hilo. Kwa ujumla ni kazi nzuri.
ReplyDeletesuali dada, hivi uliifanyia test yeyote blog yako kabla ya kuiweka hewani?
ReplyDeleteMbona sentensi ziko kiajabu ajabu au ndio style yako? ni nani mwenye muda wa kukaa na kusoma blog namna hiyo?