Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    YES GADO YOU HAVE DONE IT AGAIN. YOU ARE GREAAAAAAAT. YAANI HAO AL SHABAAB WAUWE WATU THEN WAJISINGIZIE WANAFANYA HIVYO KWASABABU YA DINI ALAFU WAENDE PEPONI NA KUPATA ZAWADI YA 72 VIRGINS. HAO HAWAENDI PEPONI BALI WATAENDA MOJA KWA MOJA MPAKA MOTONI. WAUWAJI HAO. MICHUZI HIVI HUYU GADO NI MCHORAJI WA PICHA ZA KUUZA. NINGEPENDA KUNUNUA PICHA ZAKE. ASANTE SANA MICHUZI YOU MAKE MY DAY KWA HIZI CARTOONS ZA GADO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2010

    hao al shabaab ni maharamia kwa vitendo vyao vya kuua watu. kwma wanafikiri wataenda peponi kwa vitendo vyao ni wajinga angalia shetani anavyo wakaribisha hell. i like this cartoon michuzi, very funny and entertaing.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2010

    Good Job Gado !

    Schoolmate Azania

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2010

    Hivi hawa watu?! kwanini uwaze kupewa virgin women! kwanini isiwe kwenda kumsifu Mungu milele! Kama sio kuendekeza ngono! Hivi mnafikiri Mungu ni kitu gani mpaka mfikiri atawazawadia wanawake? Hata kama isingekuwa kwa kuuwa.
    Nabil, UK

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2010

    Hata mimi siwaelewi. Kama wanaume watapewa mabikira 72 na wanawake nao wakienda peponi watapewa nao mabikira 72? Is that spiritual lesbianism or homosexulaity. What a crap.Siyo siri I hate these shababs and their kind.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2010

    Mojawapo ya propaganda kubwa kabisa inayo enezwa na vyombo vya habari ni ile hadithi ya wanawari (Bikira) 72. Masimulizi haya yanaenezwa sana kupitia vyombo mbali mbali vya habari pamoja na tovuti zao. Hali hii imekuwa ikirudiwa rudiwa kiasi ya kwamba ulimwengu wa kimagharibi umemeza uongo huo na kuuona kama ni ukweli.

    Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwakataza askari dhidi ya kuwaua wanawake na watoto, na alikuwa akiwaambia: (...Msisaliti, msizidishe sana, msimwue mtoto mchanga.)”
    Imesimuliwa ndani ya Swahiyh Muslim Na. 1744, na Swahiyh Al-Bukhaariy Na. 3015

    Kuna ayah na hadithi lukuki zinazo laani kujiua lakini napenda pia hapa kuweka ayah kutoka kwenye Qur'ani. Inayopiga marufuku na kwa dhati kwamba hakuna malipo kwa mtu yeyote ambaye anafanya hivyo.

    Kutoka kwenye Qur’an tunafahamishwa hivi:

    Enyi mlio amini! Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa iwe biashara kwa kuridhiana wenyewe. Wala msijiuwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwarehemuni.
    Na mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu
    Q 4:29-30

    Kwa ufupi kwenye Uislam hakuna kitu kinachoitwa mabikira 72 hizo ni propaganda tu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2010

    Hahahahahhaaaaaaaaa!!!!
    Very funny!!!....this cartoonist is a genius!!!...hahahahahah!!SIO AL SHABAAB TU NA AL QAEDA JE?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2010

    .....Its just "UTOPIA" AL SHABAB wanamjua adui yao na wamempiga panapo uma!....haya mengine ni propaganda tu, bahati mbaya na GADO kaingia!
    SEMENYA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...