AFISA masoko wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi (kushoto)akimkabidhi mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS, tiketi,hati ya kusafiria pamoja na fedha tasilimu dollar 500 kwa ajili ya matumizi madogodogo Joseph Magere mkazi wa Musoma Mkoani Mara kwenda kushuhudia mechi ya robo fainali kati ya Ghana na Uruguay itakayochezwa kesho soccer city Johannesburg. Katikati ni mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera.
Mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera (kushoto) akimkabidhi Simon Magere ambae ameambatana na baba yake Joseph Magere aliyeipuka mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS lililokuwa likichezeshwa na Vodacom Tanzania, na kujipatia tiketi ya ndege, pamoja na fedha tasilimu dollar 500 kwa ajili ya matumizi madogodogo kwenda kushuhudia mechi ya robo fainali kati ya Ghana na Uruguay itakayochezwa kesho soccer city Johannesburg,katikati AFISA Masoko wa Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2010

    HII NI ROPUND YA MTOWANO SI ROBO FINALI, ROBO FINALI NI NEXT STAGE ZITAKAPOKUWA ZIMEBAKIA TIMU NANE, THEN NEXT STAGE ZIKIBAKIA TIMU NNE NDO SEMI FINAL, THEN, ZIKIBAKI MBILI NDO FINAL, ZILE ZITAKAZO SHINDWA KUNDA FINALI ZITACHEZA KUMPATA MSHINDI WA TATU, I GUES THEY GONNA PLAY BEFORE FINAL, I MEAN ONE DAY BEFORE FINAL MATCH

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2010

    sasa uyo jamaa apo juu anafuatilia mpira ni mshabiki au anapenda kusikiliza sauti za mavuvuzela, maana anasema sio robo fainali mpaka zi baki timu nane, je anaweza kutuambia zimebakia timu ngapi? kama sikosei ni mlevi wa mataputapu teh teh teh...kazimue.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2010

    Nyie mlio comment ni wehu kama sikosei, sasa hivi ndio robo fainali, round ya mtoano ilikamilika na Ghana ilimtoa USA, Huyo anaenda kushuhudia robo fainali kati ya Ghana na Uruguay...ef you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...