Dr Gim Kempton wakati wa mahafali hay0
Dr Gim Kempton wakati wa mahafali hay0
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera, Mdau. Wabongo kwa aibu ya kutazama kamera tu hamjambo. Tutor anatazama kamera, wewe mwenye picha uko interested kutazama majani pembeni! Unaharibu picha...
ReplyDeleteUlikuwa unatakiwa kuwa unakula nondos za PhD toka umekaa Uk inamaana Masters ukianza sasahivi utamaliza karne ijayo hongera thou.
ReplyDeleteSasa vibibi care utaacha?
Usinibanie
jamani ni university of porstmouth sio chuo kikuu cha university of portsmouth
ReplyDeleteMTU UKIWA NA PERSONAL TUITOR INA MAANA KUWA a. EITHER NI MGUMU SANA KUELEWA KWA HIYO ANATAFUTIWA PERSONAL TUITOR ILI ALE NAYE SAHANI MOJA (ONE ON ONE) AU b. ANA PESA NYINGI SANA KIASI CHA KUAJIRI MTU WA KUMFUNDISHA ONE ON ONE.......MIMI NDIYO UFAHAMU WANGU HUU
ReplyDeleteMimi nilipoona picha kabla ya kusoma nilifikiri amepata PHD!! Kumbe undergraduate!!! Au ndo kisomo cha watu wazimaaa? Anyway, hongera na kama una moyo wa kusoma kesho asubuhi anza kuaply masters.
ReplyDeleteNkyabo- Bongo
Lemme see: Bachelor at 45, Master's at 50, PhD at 55. Sio mbaya, ukirudi Bongo utatesa ila tafuta darasa lingine. Sio survey degree yako haina kivua bongo. Watu tuna MBA za UCLA lakini bado tumekwama.
ReplyDeletehongera kaka,hiyo field yako wachache sana bongo na real estate ndio inaingia kwa hiyo pls back home uje muweke misingi imara ya hii industry na ukiona wabongo wanakuzingua nenda kwa kagame yeye anathamini taaluma za watu kule utafanya makubwa na utaishi vizuri tuu
ReplyDeleteKila mtu na mawazo yake na uamuzi wake huyu mdau sio kwamba hajasoma huyu anataaluma katika steam Engineering, hivyo aliamua kubadiri taaluma na huyu mdau ameishafanyakazi sana nchini na nchini Malawi hivyo msipende kukandia wenzenu wakati wengine hamuwezi, kuwa na personal tutor ni mpango wa kila University sio kwamba mwanafunzi hana hela nyingi au hajiwezi darasani huku ni kutokuelewa mambo. Wadau kumbuka watu wakisoma sio wanataka kufanya kazi bongo hili sio kweli kwasababu course nyingi Europe katika University za kweli ziko credited na bodies huyu jamaa anaweza kufanya kazi sehemu yoyote duniani, na hapa anahitaji masaa mianne kuwa MRICS,huu ni uzito kuliko PhD,wabongo tujue namna ya kufupisha kusoma. Mdau usa
ReplyDeleteWEWE KILO, KWELI UFAHAMU WAKONI FINYU,INAONYESHA HUJUI MAANA TUTOR. BORA UNGEULIZA MAANA YAKE NINI KULIKO KUTOA MAANA YA HUKO KWENU KUGURUNYEMBE/TANDALE/MSOLOLO.ALAAAAAA!
ReplyDeleteNdio maana mara nyingi sishangazwi na Tanzania kuendelea kuwa nchi maskini kuliko nchi nyingine yoyote duniani hii ni kutokana na ufinyu wa akili tulionao. Huu ulikuwa ni wakati mzuri kwa wadau kumpongeza kamanda wetu sio kupiga vijembe. Siku zote elimu si tu kuajiliwa elimu ni ufahamu. Wivu tu. Kamua kaka
ReplyDeletekama mdau angekuwa amemaliza mapema angewasaidia Takururu katika kesi yao na Liyumba katika kuangalia thamani ya jengo pacha la Bot na kuwaeleza maana ya schedule 2quatation in therelevant matter hapa Liyumba angekuwa na kesi ya kujibu katika kufanya maamuzi makubwa kwenye mchoro wa majengo hayo, ninauhakika mdau atakuwa anaufahamu na contract administration under jct 2005.
ReplyDeletemdau uk.
aisee humu bloguni raha sana...
ReplyDeleteHallo kusoma hakuna muda maalumu ndiyo ukaambiwa elimu haina mwisho. Ule muda ambao una-fill kwamba unahitaji elimu fulani basi unafanya hivyo. Hongera sana.
ReplyDelete