Mdau Subira Adadi Rajabu mara tu baada ya kukabidhiwa cheti chake chuoni Northampton baada ya kuhitimu Degree ya Pili chuoni hapo ( Master of Arts in International Human Resource Management)
Katika picha ya pamoja na Baba Mzazi Mh. Balozi Adadi Rajabu (pili kulia), Bw. Nginilla David (kwanza kushoto) na Uncle wa Subira (kwanza kulia) mara baada ya sherehe za kukabidhiwa Nondooos.
Mdau Subira akiwa na wahitumu wengine baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu Mafunzo yao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    Thanks for representing our town Subira!
    regards to Deo too
    John

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2010

    Hongera kwa nondo. Sisi wa wakulima tutapata lini fursa hizi jamani? Tunasikia tu kwamba watu wame-graduate ughaibuni. Sisi je?

    ReplyDelete
  3. Hongera sana. Familia ya Saidi Mpwagi tunakupongeza sana.

    ReplyDelete
  4. David VillaJuly 16, 2010

    Hongera Subira.Karibu TZ.

    WADAU WA UK,NINI MAANA YA HIZI PHRASES (a)"AMPTON" e.g Southampton,northampton na (b)HII PHRASES 'shire' e.g yorkshire.Tafadhali.

    ReplyDelete
  5. JembeulayaJuly 16, 2010

    David Villa, Hii ni long traditional and complex topic lakini kiufupi "Shire" maana yake ni Mkoa (end of region/County) mfano kuna mikoa ya Bedfordshire, Yorkshire, Derbyshire, Hampshire, Northamptonshire, Berkshire etc.
    Ukija kwenye Suffix ya ampton mara nyingi inaashiria ni mji (town) mfano Northampton ni mji/town uliopo katika mkoa/county ya Northamptonshire,kuna Hampton, Southampton etc.
    Vilevile maarufu mikoa inayoishia na suffix ya sex, Middlesex,Sussex,Essex nk.
    Miji/town inayokwenda na suffix Cester Manchester, Doncaster, Lancaster nk. pia miji/town inayoishia na Borough/Bury mfano Peterborough, Wellingborough, Middlesbrough, Banbury, Shrewsbury, Aylesbury nk.
    Nachangia.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2010

    Hi Subira hongera kwa kupeperusha bendera ya Tanzania katikati ya nyasi zilizokolea rangi kwa afya njema. Peperusha hadi ndani ya mji wenye idadi ya matunda mengi kuliko yote nchini mwako. Mafenesi yanakusubiri MUHEZA. U really rock babe, keep the fire burning in our district.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2010

    Hongera sana dada yangu Subira...tutafuata nyayo.

    Love, Fatima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...