Mdau Subira Adadi Rajabu mara tu baada ya kukabidhiwa cheti chake chuoni Northampton baada ya kuhitimu Degree ya Pili chuoni hapo ( Master of Arts in International Human Resource Management)
Katika picha ya pamoja na Baba Mzazi Mh. Balozi Adadi Rajabu (pili kulia), Bw. Nginilla David (kwanza kushoto) na Uncle wa Subira (kwanza kulia) mara baada ya sherehe za kukabidhiwa Nondooos.
Mdau Subira akiwa na wahitumu wengine baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu Mafunzo yao.

Thanks for representing our town Subira!
ReplyDeleteregards to Deo too
John
Hongera kwa nondo. Sisi wa wakulima tutapata lini fursa hizi jamani? Tunasikia tu kwamba watu wame-graduate ughaibuni. Sisi je?
ReplyDeleteHongera sana. Familia ya Saidi Mpwagi tunakupongeza sana.
ReplyDeleteHongera Subira.Karibu TZ.
ReplyDeleteWADAU WA UK,NINI MAANA YA HIZI PHRASES (a)"AMPTON" e.g Southampton,northampton na (b)HII PHRASES 'shire' e.g yorkshire.Tafadhali.
David Villa, Hii ni long traditional and complex topic lakini kiufupi "Shire" maana yake ni Mkoa (end of region/County) mfano kuna mikoa ya Bedfordshire, Yorkshire, Derbyshire, Hampshire, Northamptonshire, Berkshire etc.
ReplyDeleteUkija kwenye Suffix ya ampton mara nyingi inaashiria ni mji (town) mfano Northampton ni mji/town uliopo katika mkoa/county ya Northamptonshire,kuna Hampton, Southampton etc.
Vilevile maarufu mikoa inayoishia na suffix ya sex, Middlesex,Sussex,Essex nk.
Miji/town inayokwenda na suffix Cester Manchester, Doncaster, Lancaster nk. pia miji/town inayoishia na Borough/Bury mfano Peterborough, Wellingborough, Middlesbrough, Banbury, Shrewsbury, Aylesbury nk.
Nachangia.
Hi Subira hongera kwa kupeperusha bendera ya Tanzania katikati ya nyasi zilizokolea rangi kwa afya njema. Peperusha hadi ndani ya mji wenye idadi ya matunda mengi kuliko yote nchini mwako. Mafenesi yanakusubiri MUHEZA. U really rock babe, keep the fire burning in our district.
ReplyDeleteHongera sana dada yangu Subira...tutafuata nyayo.
ReplyDeleteLove, Fatima