Happy birthday ya
http://miram3.blogspot.com/
Ni mwaka sasa tangu ianze, nawashukuruni sana kwa
Ni mwaka sasa tangu ianze, nawashukuruni sana kwa
kuniunga mkono na naomba tuendelee kuwa hivyo.
Karibuni sana ndani ya blog.
Mdau emu-three
Mdau emu-three
Happy birthday, miram3.blogspot.com, tunatumai kwa mwaka huo umekomaa na utatuletea vitu. Kumbe hii blog inamilikiwa na wewe emu-three .Nitakutembelea sana, manake wewe ni mkali wa kutoa hoja.
ReplyDeletebest wishes
Mbona mchuzi kakubania, ilitakiwa tukibofya inafunguka, lakini hapo inaonekana kama mfu.
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY miram3. MUNGU AZIDI KUKUINUA.
ReplyDeleteHONGERA SANA.