Home
Unlabelled
Miss OUT excellence 2010 kumenyana kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nilifikiri tutapumzika hata mwezi mmoja kutoona mamiss hawana kazi nyingine za maana
ReplyDeleteWADAU WAZIPIGA LAIVU, MWANANYAMALA
ReplyDelete******************************
MUJOMBA ISSA MUHIDIN MICHUZI,BWANA MIMI NAKUONYA NA KAMA WEWE NI MUTU WA KUSIKIA USIKIE. USIWEKE ATIKO ZA NABII ZA YOHANA MASHAKA KWENYE HII BULOGU YAKO. KWANI LEO WATU WAMEZICHAPA KIKWELIKWELI PALE MWANANYAMALA KWENYE BAA. WALIKUWA WANAJADILI VIJANA WAKALI SANA NJE NA NDANI YA INCHI. SASA WENGINE WAKAANZA KUBISHA KWAMBA ZITTO NI MKALI KULIKO MASHAKA NA KUNDI LA MASHAKA NALO LIKAWA ALITAKA KUAMBIWA, BASI HAPO NDO NGUMI ZIKAANZA JAMAA WAWILI WAKAPIGANA KWELI KWELI, BILA SISI KUWEPO WANGUMIZANA. KWA HIYO MICHUZI KUANZNIA LEO TUNAOMBA USIWEKE MAKALA YA JOHN MASHAKA KWA MAANA JAMAA NI KONTREVESHO SANA KWENYE HII NCHI AKAE HUKO HUKO MAREKANI ASIRUDI HAPA NA VIZUNGU VINGI VYA KUOKOTA BWANA.
Kila siku naona kuna mashindano ya visura.Swala langu, hawa ni wa kila siku ni hawa hawa au kila shindano kuna wapya?. Na kama ni wapya kila siku basi TZ tuna utajiri mkubwa sana wa visura.
ReplyDeleteso what kama tuna utajiri wa visura.Hilo linatusaidia kuondoa kero tulizonazo mintarafu ufisadi, foleni kibao n.k sisemi sana lakini kama faida mpaka sasa ni kiduchu tu na hivyo kuzidi kukondesha mabinti zetu kwa vitaji vya siku mbili huku wakashindwa kusoma vema na kuandaa mstakabali wa maisha yao baadae kwa taji za mafanikio kielimu.hayeni wadau wa visura.
ReplyDelete