Mwanachama maarufu wa Yanga Awadh Mlido akiongea wakati wa kufungua tawi la klabu hiyo la Lango la Jiji leo Dar. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hiyo mihimili mipya kiboko

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2010

    Michu huyo Mlido wa chuma alikuwa mmoja wa kaka zako wengine kina Mrisho Wanted,Mkwanda,Mandemla, Maina Kavu,Changw'alu, Zomba Blantyre ,Kala Mzuvendi, Kitonsa pamoja na wazee waliokuwa wanakulea kina Mzee Makwaia,Gidemy ,Gessani na Ankal wako Bakhresa wengine nitakutajia baadae .
    mdau Pakacha la Siri.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2010

    Kwa faida ya wenye internet slow, au bajeti ndogo isiyoruhusu kutazama video, mihimili mitano iliyotajwa ni:

    1. Bunge
    2. Mahakama
    3. Serikali [kuu]
    4. Yanga
    5. Msondo Ngoma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...