Mwanachama maarufu wa Yanga Awadh Mlido akiongea wakati wa kufungua tawi la klabu hiyo la Lango la Jiji leo Dar. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
mlido ataja mihimili mitano ya bongo wakati tawi la yanga la lango la jiji likizinduliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hiyo mihimili mipya kiboko
ReplyDeleteMichu huyo Mlido wa chuma alikuwa mmoja wa kaka zako wengine kina Mrisho Wanted,Mkwanda,Mandemla, Maina Kavu,Changw'alu, Zomba Blantyre ,Kala Mzuvendi, Kitonsa pamoja na wazee waliokuwa wanakulea kina Mzee Makwaia,Gidemy ,Gessani na Ankal wako Bakhresa wengine nitakutajia baadae .
ReplyDeletemdau Pakacha la Siri.
Kwa faida ya wenye internet slow, au bajeti ndogo isiyoruhusu kutazama video, mihimili mitano iliyotajwa ni:
ReplyDelete1. Bunge
2. Mahakama
3. Serikali [kuu]
4. Yanga
5. Msondo Ngoma