MTOTO SHEIKH MOHAMED SHEIKH AMETOWEKA TAREHE 06/07/2010 GHAFLA MAJIRA YA SAA 6 MCHANA NA HADI SASA HAJULIKANI WAPI ALIPOKWENDA. KWAO NI MBURAHAT SHELL. ANA UMRI WA MIAKA 14
MARA YA MWISHO ALIVAA SHATI LA KIJIVU,KAPTULA YA KAKI NA KANDAMBILI ZA BLUE.
YEYOTE ATAKAYE MUONA ANAOMBWA ATOE TAARIFA KITUO CHA POLISI AU AWASLIANE No.0655821182 YA BABA MZAZI BWANA MOHAMED SHEIKH AU MAMA MZAZI NASRA SALUM.
AHSANTENI .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...