Home
Unlabelled
NONDOZZZZZZZZ....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi kila mTanzania angekuwa ana post picha zake za graduation kwenye blog, pangekalika kweli? This is getting too old. Pia hizi lugha jamani. Nini maana ya Chuo Kikuu cha University?
ReplyDeleteHongera sana Kulwa kwa kufanya mambo makubwa,tafadhali tuwasiliane kwa email ifuatayo ningependa kupata ushauri juu ya shule kama hutojali,newfrank@hotmail.co.uk
ReplyDeleteNitashukuru kama tutawasiliana.
Frank.
Wikiend ipi? hii ceremony ilikua jana tu, Jumatatu 5th July. Niliwaona jana asubuhi wananga'ra.
ReplyDeleteMdau wa Hendon being pedantic.
KISWAHILI FASAHA!
ReplyDeleteNdg Michuzi,
Sitachoka kukukosao kuhusu lugha sahihi! Kumbuka wadau wa mataifa mbalimbali wanajifunza kiswahili kwa kusoma vyombo vya habari mbalimbali.haswa mtandao wako.
Jitahidi kutumia kiswahili fasaha, ama lugha nyingine mfn:kiingireza
umetumia yafuatayo: Mabesti
Masta
Akipozi.
Kulwa, hongera sana kwa kuongeza ujuzi na tunatumai kwa ujuzi ulioupata utakuwa na manufaa makubwa katika kuleta maendeleo nchini kwetu. Mungu azidi kukubariki.
ReplyDeleteWee mdau wa Japan wa kwanza hapo juu unayejiita "Anonymous" (sitakutaja jina japo nakujua), nini kinakuuma tunapoweka hapa picha zetu. Unapenda sana ubishi wewe. Na wala haukusaidii chochote.
ReplyDeleteHongera sana kaka!!hizi ni salamu kutoka kwa wanajahmuri wa idarani...,japo wengine wanalalamika hujaaga!!
ReplyDelete'green vesti ya kijani', kweli tunampongeza mdau kwa kula nondoz toka chuo kikuu cha Middlesex University.
ReplyDeleteMdau
Operation Mlale
smile!!!!!!!
ReplyDeleteKumbe siku na graduate pale Coventry University nilitakiwa kumtumia ankal aniweke live ili jumuiya yote ijue kuwa sitaki utani kudadadek nimekula nOndoz ya MBA sio ya mLimani ni ya majuu UK. Ha ha ha ha !!!
ReplyDelete