MDAU KULWA MSOGOTI AKIPOZI BAADA YA KUTAFUNA NONDOZZZ YAKE YA NGAZI YA MASTA KATIKA CHUO KIKUU CHA MIDDLESEX UNIVERSITY NCHINI UINGEREZA WIKIENDI ILIYOPITA

MDAU AKIWA NA MABESTI WAKE WA CHUONI


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    Hivi kila mTanzania angekuwa ana post picha zake za graduation kwenye blog, pangekalika kweli? This is getting too old. Pia hizi lugha jamani. Nini maana ya Chuo Kikuu cha University?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2010

    Hongera sana Kulwa kwa kufanya mambo makubwa,tafadhali tuwasiliane kwa email ifuatayo ningependa kupata ushauri juu ya shule kama hutojali,newfrank@hotmail.co.uk
    Nitashukuru kama tutawasiliana.
    Frank.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2010

    Wikiend ipi? hii ceremony ilikua jana tu, Jumatatu 5th July. Niliwaona jana asubuhi wananga'ra.
    Mdau wa Hendon being pedantic.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2010

    KISWAHILI FASAHA!
    Ndg Michuzi,

    Sitachoka kukukosao kuhusu lugha sahihi! Kumbuka wadau wa mataifa mbalimbali wanajifunza kiswahili kwa kusoma vyombo vya habari mbalimbali.haswa mtandao wako.

    Jitahidi kutumia kiswahili fasaha, ama lugha nyingine mfn:kiingireza
    umetumia yafuatayo: Mabesti
    Masta
    Akipozi.

    ReplyDelete
  5. Kulwa, hongera sana kwa kuongeza ujuzi na tunatumai kwa ujuzi ulioupata utakuwa na manufaa makubwa katika kuleta maendeleo nchini kwetu. Mungu azidi kukubariki.

    ReplyDelete
  6. Wee mdau wa Japan wa kwanza hapo juu unayejiita "Anonymous" (sitakutaja jina japo nakujua), nini kinakuuma tunapoweka hapa picha zetu. Unapenda sana ubishi wewe. Na wala haukusaidii chochote.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 06, 2010

    Hongera sana kaka!!hizi ni salamu kutoka kwa wanajahmuri wa idarani...,japo wengine wanalalamika hujaaga!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 06, 2010

    'green vesti ya kijani', kweli tunampongeza mdau kwa kula nondoz toka chuo kikuu cha Middlesex University.
    Mdau
    Operation Mlale

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2010

    smile!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 07, 2010

    Kumbe siku na graduate pale Coventry University nilitakiwa kumtumia ankal aniweke live ili jumuiya yote ijue kuwa sitaki utani kudadadek nimekula nOndoz ya MBA sio ya mLimani ni ya majuu UK. Ha ha ha ha !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...