Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya udhamini ya NSSF Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Hidegard Mzirai akipokea kikombe cha ushindi wa jumla katika maonyesho ya 34 ya biashara ya kimataifa kutoka kwa marais Jakaya Kikwete wa Tanzania na Luiz Da Silva wa Brazil mara baada ya rais wa Brazil kuyafungua rasmi katika viwan ja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam. (Picha na Mwanakombo Jumaa Maelezo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...