Home
Unlabelled
utafiti wa ukulima wa nyanya kanda za pwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkuu wa libeneke,
ReplyDeleteKazi nzuri hata na sisi huku America tumefurahia. Sasa hawa wanasiasa wetu vitu kama hivi wanavifuatilia? au ndio kila siku kuomba chakula tuu!!Hivi ndivyo Sayansi inavyotakiwa kuwasaidia wanachi haswa wa kima cha chini amabo wanajilimia tu bila ushauri. Hongera kwa huyo jamaa aliyekuwa anatoa maelezo maana amejitahidi sana kutumia kiswahili, tofauti na yule wa Chuo Kikuu cha Ualimu.
Mdau N.America
Jamani hizo spelling za research sina hamu nazo!
ReplyDeleteMkuu,
ReplyDeletehiki ndio kitu kinatakiwa kufanywa,kwa kuongezea, wananchi pia tunahitaji kushiriki,sio kubishania mipira na mambo yasiyo na maana tuwe sirious.ni vitu hasa vinavyotufanya tuwe nyuma."aina ya uongozi inategemea aina ya wananchi,kwa kuwa viongozi wanakilisha aina ya jamii iliyopo sehemu fulani".