Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakipiga pepa yao ya semesta ya pili ya mwaka wa masomo 2009/2010 huko Zenji



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    na ma baibui chabo lazima sana !! msimamizi mwenyewe mmoja upo nyuma kabisa !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2010

    watu wengine sijui wana laana? Sasa we anon wa kwana unasema na mabaibui chabo lazima, Anzisha chuo chako basi wanafunzi waje kufanya mitihani Uchi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2010

    we have to change our system Tanzania we relying on writing only its lk lk primary school.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2010

    Anony wapili kweli genius..nakukubali bwana..afterall wanafunzi wote wanaonekana makini/ real focused...perfect exam hall and perfect students...wishing u all the best dears.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2010

    ahahaha, jamn wabongo 2na mambo!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 04, 2010

    LOL. anon wa kwanza umenikumbusha enzi za chuo,kuna demu anaitwa JACK yeye siku za mitihani lazima apige maushungi na hijab.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 04, 2010

    wewe
    Tarehe Sun Jul 04, 11:23:00 AM

    mbona umekasirika kime ku touch nini kwani huongo !!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 04, 2010

    Tarehe Sun Jul 04, 02:39:00 PM, Anonymous

    kweli kaka mimi nawajua nimeshasoma nao.wakijifunika hayo madude wana kula chapo kinoma !!

    ReplyDelete
  9. nyinyi wabongo nini kwani kupiga hiyo chabo ni wenye masshungi tu na ndiyo mana nasema siku zote hatuna shida na muungano wenu,,,,,,,,,,,,,na ipo ciku watakiona watanganyika wote especially wakiristo wanaoishi znz

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 04, 2010

    Weee Khamisseif jinga kabisa watu wanajadili chabo/desa kwenye mitihani weye unaleta udini..au na weye ni mpiga desa maarufu.
    Halafu unasahau kuna wapemba kibao kariakoo,watakimbilia wapi??

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 04, 2010

    KHAMIS SEIF KWANI NANI ANATAKA MUUNGANO! SANA SANA NYINYI NDO MNAO FAIDIKA NAO, KAMA MNATAKA SI MUENDE TU KAMA MNA UBAVU!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 04, 2010

    Inasikitisha kuona mpaka katika karne hii watanzania bado tuna ubaguzi wa kidini ,ukabila , rangi na jinsia . sasa habari ya mabaibui na ushungi (hijab) imeingiaje katika habari ya semesta katika chuo cha Suza ?. ikiwa sisi wenyewe kwa wenyewe tunabaguana tunataka wale wasio waTanzania watufanye nini? tuamke wabongo tuache dhana potofu. huo ni mtazamo wangu.
    mdau Pakacha la siri.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 04, 2010

    Co Case, ntawaambia waje UCHI c ndo mnavyotaka. PUMBAVU!!!!!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 04, 2010

    michuzi naomba uitoe hiyo comment ya khamiseif inajenga chuki au na ww unaona raha yakiwepo malumbano ktk blog yako.hii inafanya mpaka mada ya hapo juu kua haina mana badala yake watu wanaanza malumbano kwenye mada nyengine.By the way sihitaji hii comment kuwekwa lkn bora ufanye action ya kuitoa kuliko kuipost.
    Mdau Zanzibar

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 04, 2010

    nyie wabongo cjui kwa nn mnapenda kuwachokoza wazanzibari nadhani ndio mana michuzi nae akaiweka hiyo mada.Mnatafuta kosa dogo tu mukosoe.
    hao wazanzibari wana kitu gani special hata wakawa wanaangaliwa this way

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 04, 2010

    Good luck everyone, Inshaallah Mwenyezi Mungu atawajaalia mtafanya vizuri.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 05, 2010

    All da best dear students, shungi na bainui ni alama ya uislam so anonym uliesema wanapga chabo unaamaanisha muslim ndivyo tulivyo thus why tunakua wakali na hatuko tayari kuchezewa dini yetu. Mungu akuongoze mapema chunga maneno yko, kisha tafakari ndio ukurupuke. God bless all commenters
    Mdau osmania

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 05, 2010

    Wee unayesema ushungi ni alama ya uisilamu sidhani kama unajua dini yako vizuri. Ushungi ni culture ya uarabuni na kuna waisilamu wengi nimekutanan nao hawavai hizi kwa vile wanasema haziko kwenye dini. Ni mtu pendekezo lako. Mimi sio msilamu but I think I am right for this one....

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 05, 2010

    ww anon wa kwanza tafuta telescope kama huoni,cant you see that hao ni wasimamizi wawili tofauti katika picha ya kwanza na ya pili.second hiyo picha imepigwa from one direction eti unasema kuna msimamizi mmoja.huwezi jua pengine huyo aliepiga hiyo picha ni msimamzi wa pili ndo mana wakapiga picha kwa zamu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 05, 2010

    WATU WENGINE HAWAPENDI WAKIONA KITU ZANZIBAR LAZIMA WATIE FITINA NA HUYO ALOSEMA SHUNGI NI CULTURE AJE TUMFUNDISHE qUR AN INASEMA WANAWAKE WAJISTIRI NA VILE VILE MUNGU AMETEREMSHA NGUO NA NGUO ZA UCHAMUNGU IJAPOKUA SI ALAMA KUWA SHUNGI AU KANZU NA KOFIA KUWA NI MUISLAM ILA NI HESHIMA.AYA INASEMA WALIBATU TAKWA DHALIKA KHAYR

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 05, 2010

    Hivi wapemba tukisema waondoke itakuwaje?

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 05, 2010

    ""Wee unayesema ushungi ni alama ya uisilamu sidhani kama unajua dini yako vizuri. Ushungi ni culture ya uarabuni na kuna waisilamu wengi nimekutanan nao hawavai hizi kwa vile wanasema haziko kwenye dini. Ni mtu pendekezo lako. Mimi sio msilamu but I think I am right for this one""....

    HII NI KUFURU KAMA NI MUISLAM OMBA TOBA KWA MOLA WAKO, KAMA SI MUISLAM SHAURI YAKO MAANA HUJUI ULISEMALO. HIJABU NI AMRI ILIYOTOLEWA NA MWENYEZI MUNGU KATIKA KITABU CHAKE KITAKATIFU QURAN! SASA KAMA WEWE WAPINGANA NACHO SHAURI YAKO!

    KUHUSU HIJABU NI STARA YA MWANAMKE! KINACHONISHANGAZA MWANAMKE WA KIISLAM AKIVAA HIJAB, WASIOVAA KINAWAUMA NA KUTOA COMMENT ZA AJABU AJABU MARA SIJUI CHABO SIJUI NINI HII YOTE KUONYESHA KUWA WANAWAKE WA KIISLAM HAWANA AKILI AU? NA TENA WAAMBIWA NI UTAMADUNI WA KIARABU.

    LAKINI MASISTA WA KIKRISTO WAKIVAA VILEMBA VYAO WAO NI DINI NA SI UTAMADUNI. WANAWAKE WA KIYAHUDI WAKIFUNIKA VICHWA VYAO (JAPO SIKU HIZI WANAVAA MAWIGI) WAO WANAPRACTICE DINI YAO.

    NA WEWE ULIEYESEMA MICHUZI AONDOE COMMENT YA KHAMIS, WEWE UMEONA HIYO TU NDIYO MBAYA NA WALA SI COMMENT YA MWANZO KABISA ILIYOANZA NA UDHALILISHAJI? HIVI NYINYI NA EXPOSURE YOTE MLIYOPATA BADO HAMJAKUWA TU? HEBU TAZAMENI WANAWAKE WANASAYANSI WA IRAN AMBAO WANATEGEMEWA NA SERIKALI YAO!

    mwanamke wa kiislam!

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 05, 2010

    WW ANON JULY 5,5:44AM UMEONGEA UWONGO MTUPU.

    1.)HAO WALOKWAMBIA HIJAB HAIPO KATIKA DINI LABDA NA WAO HAWAJUI DINI YAO.UISLAM UNAAMRISHA ATLEAST MWANAMKE AJIFUNIKE MWILI MZIMA ISIPOKUA USO NA VIGANJA.HIVI VIPO NDANI YA QURAN &PROPHET'S SAYINGS.

    2.)WAKRISTO WAARABU HAWAVAI USHUNGI KAMA UNASEMA NI CULTURE YA WAARABU.
    3.)USIZUNGUMZE TU RULINGS ZA DINI FULANI USIOIJUA KWA SABABU UISLAM UKO DEEP KULIKO UNAVODHANI AND NO ONE CAN ARGUE WITH THIS

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 05, 2010

    anon wa Mon Jul 05, 05:44:00 AM nakupa pongezi kwa kueleza hili: ushungi sio uislam: ni vazi tu na ni utamaduni wa waarabu: hata mie wakati mwingine navaa hijab japo si muislam: ni mapendekezo ya mtu.

    Pia hakuna aliesema wabongo hawavai hijab: mbona wapo tele wanovaa? ni tatizo tu la huyo hapo juu anejifanya anatetea uzanzibari. Hakuna aliesema waislam wanapiga chabo: labda waislam wanajishuku tu!

    Nafikiri mada ya muhimu ingekuwa kuzungumzia mitihani yenyewe, changamoto zinazowapata na pia tuangalie chuo kimesimama wapi (i.e KIWANGO CHA UFAULU)tangu kimeanzishwa.

    Haya kazi kweni wachangia mada

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 05, 2010

    nawakumbuka wenzetu wa zenji enzi zile nasoma chuo kikuu cha DSM (miaka ya '80): Du! we acha tu! ni burudani tupu.. hongera upande wa pili wa muungano.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 05, 2010

    salaleeh
    hongereni wanafunzi wa suza,mjitaidi mfaulu ile mjenge taifa letu Tz

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 05, 2010

    Kwa njia hii iko siku naona zitapigwa tu,chuki imeota mizizi.

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 05, 2010

    Aliyeweka hii picha na comments zake alitaka kutuonyesha kuwa vijana wetu pale SUZA wamefanya mitihani yao hivi karibuni( sijui kama walishamaliza) . Lakini pia SUZA kwa karibu wiki hivi imekuwa na ugeni toka bara ( Kilimanjaro) ambao walitaka kujifunza kitu toka kwao SUZA ,jambo zuri sana hili. Linaimarisha ubora wa elimu ya mahusiano ndani ya jamii. Wengine tulitoka kwetu tukijua duniani watu wote ni kabila letu tu basi, tukapata kujua kumbe hapana kutokana na kwenda mbali kabisa shuleni, wapo waliotoka Kagera na kusoma Ndanda na wengine kutoka Mwanza kusoma Iyunga na hata kutoka Mtwara kusoma Alliance -Musoma, usisahau hali ilikuwa ni hivyo Tabora, Kahororo, Nganza, Usagara, Moshi Tech na Sec, Kibohehe na Marangu, Mkwawa na Kigonsera, Bwiru na Loleza.
    Si vema kutazama mavazi kusema yaliyosemwa hii inaonyesha bado watu hawa wanafikiri dunia hii wapo wao tu. Ila pia si busara sana kutisha jamii kama mmoja alivyosema hapo awali naye amefilisika kimawazo . Ninavyofahamu mimi ni vugumu sana kwa Tanzania ninayoifahamu mimi kumgusa muislamu ukategemea mkrsto akae kimya, huo ni ujinga kwani akifanya hivyo kesho ataguswa mkristo na mwislamu atakaa kimya, tukifika hapo hakuna atakayebaki salama, dhambi hiyo ya ubaguzi kama ipo kwa Wazanzibari ni kwa vile adui yao ni mmoja, wakishammaliza huyo watamtafuta adui miongoni mwao. HATOBAKI MTU .
    Nawaasa wote wenye MAPOKEO potofu kujiepusha kabisa na masuala haya yanayoweza kuvuruga maelewano, itoshe kusoma tu na si kuandika kauli za chini ya kiwango cha chekechea.
    Binadamu huanza kuwa mpumbavu afunguapo kinywa wakati ubongo bado umelala.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 05, 2010

    hivi wewe unaye kataa kuwa Ushungi si moja ya Culture za kiislam kwa kuleta sababu za kuona waislam wengi hawavai, je wajitambua kuwa upeo wako ni mdogo kuliko wa kuku?

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 05, 2010

    Anon wa Mon Jul 05, 05:44:00 AM, kuna mambo mengi ambayo washilamu wanasema hayamo katika uislamu ili wasifanye. Je na wewe umesoma ukakuta ni kweli? Waarabu hawakuvaa shungi kabla ya mtume, waliovaa shungi walikuwa Waibrania.

    Mengine ambayo yasemwa hayajakatazwa ni nguruwe, pombe, uzinzi n.k. wasemaje? Au shungi lakukera?

    Nafikiri ukitaka kuhakiki muulize shehe mkuu Isa Simba.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 05, 2010

    PICHA IMENIKUMBUSHA MBALI SAAAANA HII.
    MIAKA ILE YA BAINA YA 80 NA 90, WAKATI HUO SUZA IKIITWA TAASISI YA KISWAHILI NA LUGHA ZA KIGENI. HAPA NDIPO TULIPOJICHUKULIA DIPLOMA ZETU ZA KIFARANSA, AMA KIARABU, AMA KIRENO, AMA KISPANISHI.
    BADO NALIKUMBUKA BENCHI LETU NA KINA MAALIM KHAMIS MAKOKOTO!! NI EKSPERIENSI YA MAISHA KWA KWELI.
    WENGI TUMESAMBAA, LAKINI ATHARI YA TAASISI ILE NDANI YA MAISHA YETU KAMWE HAIWEZI KUPOTEA.
    SIDHANI KAMA PALE ZANZIBAR KUTAWEZA TENA KUPATIKANA TAASISI YA KITAALUMA KAMA TAKILUKI, KILE HASA KILIKUWA CHUO CHA MAISHA, AU KAMA ALIVYOSEMA MHESHIMIWA MZALE, ILE ILIKUWA FURSA YA KIPEKEE.
    WALIONIELEWA HAPO MWISHO WANAJUA NIMESEMA NINI. WASIONIELEWA NAOMBA RADHI
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 06, 2010

    Poleni wote mliokwazwa na dini zenu. Ni haki yenu ku-feel that way.

    Ila naamini comment ya kwanza na nyingine zililenga utani wa kuigilizia/kupiga chabo na sio dini ama utamaduni.

    Kuweni na amani kwa pamoja and dont take this matter very serious and dont take it personal.

    Ni utani wa kuigilizia ambao hata niliposoma Mzumbe nilifanya pia. Just fun and not a fight of anykind.

    At the sametime ni moyo mkubwa kupigania imani yenu. Japo halikuwa lengo la joke ya kwanza hapo juu. Woote tumeigilizia shuleni Tanzania na sio ZNZ ama Chuo hicho tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...