Operation Manager wa Prime Time Promotions Bw. Balozi Kindamba (kushoto) akipokea tiketi zenye thamani ya t.sh 20mil na Mkurugenzi wa Kitengo cha Biashara wa Precision Air Bw. Phil Mwakitawa zilizotolewa na Shirika la ndege la Precision Air kwa ajili ya udhamini wa Tamasha la Fiesta "Jipanguse'' 2010 linalotarajia kuanza leo katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Pembeni anaeshuhudia tukio hilo ni Meneja masoko wa Precision Air Bw. Emilian Rwejuna. Hafla hiyo imefanyika katika makao makuu ya Shirika la ndege hilo, jijini Dar
Home
Unlabelled
Precision Air yadhamini mil 20 tamasha la fiesta "Jipanguse'' 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jamani sasa hapo wamedhamini au wamewapa prime time uwakala? nani atakwenda morogoro kwa ndege?
ReplyDeleteACCORDING TO INTERNATIONAL ACCOUNTING STANDARDS WANATAKIWA KULIPA KODI WANAPOTOWA HIZO PESA MASHIRIKA YOTE YANAYOTOA PESA KAMA HIZO WANATAKIWA KULIPA KODI, KWA SABABU HAWATOWI HIZO PESA BURE WANANUNUWA KITU NA KITU HICHO NI NINI? NI ADVERTISING YA SHIRIKA LAO NI SAWA NA KUWEKA TANGAZO KATIKA TV, RADIO AU GAZETI NA KULIPIA PESA NA WAKATI HUO HUO HUWA WANATAKIWA KULIPIA KODI TANGAZO HILO BECAUSE WANAFANYA MANUNUZI NA KODI YA KULIPIA HAPA NI VAT, HATA WALE WANAFADHILI MIPIRA NA KUZIFADHILI TIMU ZA MPIRA AMBAZO HUVAA JEZZ ZENYE KUTANGAZA KAMPUNI HIZO PIA WANATAKIWA KULIPIA VAT KWA VILE WAMENUNUWA KUTANGAZA BIASHARA YAO NA SHERIA YA VAT NI LAZIMA ULIPIE KITU UNACHONUNUWA. KAMPUNI HAZITOWI SPONSORSHIP BURE, HUWA IN RETURN WANAPATA SERVICE YA KUTANGWAZWA KWA KAMPUNI ZAO SO WANATAKIWA KULIPIA KODI. HATA ZILE PROMOTION ZA KAMPUNI MBALI MBALI ZA KUTOWA MAPESA KIBAO NA MAGARI WANATAKIWA KULIPA KODI. KAMA SERIKALI IKO MAKINI NA KUPATA WATAALAMU WAZURI WA KODI ITAKUSANYA KODI NYINGI AMBAZO ITAIWEZESHA KULETA MAENDELEO YA NCHI IKIWA PAMOJA NA KUONGEZA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE. PIA TUELEWE KUWA HIZI PESA ZA SPONSORSHIP HUWA ZINATOLEWA BEFORE TAX KAMA EXPENSES SO ZINAPUNGUZA FIGURE YA MWISHO YA TAX KWA SERIKALI NA HIYO NDO LOGIC NYSINGINE YA KUZI-TAX HIZI SPONSIRSHIP
ReplyDeleteMdau wa Wed Jul 07, 01:22:00 PM; sasa makelele ya nini? Au kitu gani kipya hapo? Huo ndio ubepari, unajitangaza kwa kudhamini, kutoa misaada, nk. Ndiyo cost of doing business. Ukitaka kuendeleza nchi na wewe anzisha biashara yako, uajiri watu, ulipe kodi na ku-sponsor to your heart's content.
ReplyDeleteMtoa maoni wa 2 asante sana kwakutustua, unajua mm nilikua sijui kama hawajamaa hua wanakwepa kodi. Nachoamini ni kwamba mtandao huu unasomwa na wengi, kwahiyo naamini either kuna watu wa TRA pia ama watu wanaowajua watu wa TRA. Hii issue ni kuwa stua jamaa ili kama nnchi tusiendelee kukosa mapato.
ReplyDeleteSerikali iko responsible kwa Good governance, ila sisi wananchi tunatakiwa kuwa na EFFECTIVE CITIZENSHIP, tuamke ndugu zangu waTZ tuisaidie serikali kufanikisha good governance. Tusiwe watu wakuachia kila kitu serikali ifanye. Mabadiliko yanawezekane, yaanze na wewe hapo ulipo. Isaidie serikali, PIGA VITA WAKWEPA KODI, PIGA VITA WAVIVU, PIGA VITA WAIZI, MWISHO WA SIKU HATA UFISADI UTAOGOPA NA KUACHA NNCHI YETU SALAMA IKIWA INAENDELEA NA KUFURAHIA GOOD GOVERNANCE AND EFFECTIVE CITIZENSHIP.
Ni hayo tu, TRA WAKE UP!! FUATILIENI MAONI NA DUKUDUKU ZA WANANCHI WANAOONYESHA MOYO WA KUWASAIDIENI
Wadau hapo juu nimewapata kabisa lakini si unajua nchi yetu kodi wala hazilipwi. Watu wanafanya trades za cash cash nyingi tu. Mtu ananunua gani million 60 kwa mtu cash na wala Govt haijui hiyo hela ilitokea wapi na kuwenda wapi. Ndio maana maaifa makubwa yanaendelea wanajua kuontrol movement ya hela yao ingawaje kuna wajaja wanajua kufanya money laundering lakini sio easy kama nchi yetu. Ni hela nyingi sana sana...acha ya kupotea kwa ajili ya matangazo hivyo hata gifttax inatakiwa kuwepo pia. Mbona huku mtu ukipewa zawadi zaidi ya dola elfu 10 unatakiwa ulipe gift tax mtoaji na mpokeaji unalipa income tax...
ReplyDeletesasa wewew bwege wa 0:122:00 unadhani hawalipi kodi? ama unataka jifanya wewe ndio unaakili zaidi? pumbavu we
ReplyDeletehz 10% sio ifike mahala tubadilike ndugu zangu!!!asa mnatoa mamilion ya fedha kwa ajili ya kudhamin watu kulewa na kuambukizana ukimwi wakati hapo morogoro kuna wananch kibao kupata mlo kwa siku taabu!!kwann hzo hela wasikopeshwe wakazi wa morogoro???tena mtakuwa mmetangaza biashara na faida mtapata kubwa tu!!!??acheni mambo ya yarab nafsi wakati unawatengenezea kizazi chako maisha mabovu
ReplyDelete