Prof Jay akiwa na maporomota wake wa DC,kushoto ni Dickson Mkama kulia ni Phanuel Ligate
Prof Jay akitia mkono(akisaini graph) kwa mashabiki wake DC
wadau kutoka Kenya na Uganda wakipiga picha na Prof Jay

Mashabiki kutoka Columbus Ohio kutoka Kushoto ni
Peter Kirigiti,Frank Kambira na Denis Tibakwira ambaye ni Mganda wa DC




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2010

    jay namkubali ki sanii hila appearance 0 !! ajuhi kujipenda na na kujiweka poa !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2010

    Naombeni ufafanuzi wa kichwa cha habari. Ametua washngton DC, tayari kwa makamuzi Zanzibar?????,.. Ni kwamba sikuhizi Zanzibar inaitwa Washington DC? au huko Washington kuna sehemu inaitwa Zanzibar?? sielewi, naombeni msaada.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2010

    NDIYO KUNA KA CLUB KWA WA-ETHIOPIA KANAITWA ETI-ZANZIBAR.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2010

    YES..WASHINGTON DC,USA KUNA CLUB INAITWA ZANZIBAR..IKO KWENYE MAJI..AYT!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2010

    Jay Jifunze kuvaa vizuri kwa sasa maana watu tunanunua show zako kwa muonekano wako

    ReplyDelete
  6. kweli wadau hapo juu mmenena !msanii si kushika kipaza tu kaka nenda gym basi weka mwili safi acha huroho wa pombe za dezo! pia tafuta mtu wa kukushauri cha kuvaa kwani unaonekana katika swala la kuvaa hujuhi kitu na .!! una vaaga ma t-shirt yako ya bling bling ma kubwa utazani chinga pia !! wewe mtu mzima sana sasa vaa kiheshima

    ReplyDelete
  7. hivi hapo DC. huwa hakuna watu wengine ? naona wakati wote ni watu hao hao ambao tumekwisha wazoea yaani akina majera jera, tapeli na wengine kibao. na wanawake ni hao hao yaani akina Msaada, mapokeo na Mama huruma.

    ReplyDelete
  8. mdau wa Sun Aug 01, 03:33:00 AM wacha utani eti wanawake akina msaada, mapokeo na mama huruma, hivi haya majina umeyapata wapi? yaani umekaa week end yako ukaja na kali hii!

    ReplyDelete
  9. watu bwana, hivi mtu huoni aibu ku post comment eti watu wanatokea hao hao, tokea na wewe basi au una mind kwa kuwa wewe sura yako mbaya ndio maana hujawekwa
    Janeth DSM

    ReplyDelete
  10. naona watu wanampa shavu Prof Jay DC, si mchezo!! naona dada zetu pia in the house, gud!!nimeipenda!!

    Sammy

    ReplyDelete
  11. waaaaaatu bwana yani hata wenzenu wakitokea ktk blog mna mind.........!! so funny!! n shame
    wa UK

    ReplyDelete
  12. nasika kuna watu wanawaomba wamiliki wa blog waweke picha zao ktk blog alafu hata hawawekwi, ndio maana wanakasirika kuona wengine wanawekwa,tena mbaya zaidi kila wakati wanawekwa duh,kaaaazi kweli kweli!!
    mtanzania wa sweden

    ReplyDelete
  13. jamani watanzania acheni chuki,mastaa always ni wachache, ndio maana hata kwenye habari wanatokea hao hao kwa saaaaaana!!!
    Jimmy

    ReplyDelete
  14. ingekua mi ndio michuzi ningekua na edit comment nikiona imekaa ki bifu na chuki siweki,au kumkashifu mtu bila sababu.coz kuna watu wako radhi hata kuandika uongo ili kumchafulia mtu jina kisa chuki binafsi

    ReplyDelete
  15. kuna habari kibaaaaaao ktk blog ya michuzi,kwahiyo ukiona kuna habari ina ku bore au ukiona picha wanatokea watu hao hao kila siku unaweza ukairuka ukaangalia vitu vingine,hujaombwa uwaangalie,but pia pole sana utabaki hivyo hivyo,

    ushauri wa bure: wivu unaleta vidonda vya tumbo na stress jiangalie....!! utakufa bure
    Seif

    ReplyDelete
  16. watanzania tutaendelea kuwa nyuma siku zote,mfano mzuri huu hapo juu mtu ana comment watu kutoke hao hao,kwanza sijui haoni hiyo picha ya hao wadada hata hawakuangalia kamera walikua ktk mazungumzo na sio kwanza waliweka pozi wakapania kupiga picha itoke ktk blog,msiwalaumu wao,walaumu walippiga picha na kuiweka

    ReplyDelete
  17. mti wenye matunda always ndio unarushiwa mawe,so mkiona mtu anapondewa humu ktk blog ujue haters tu hao.

    ReplyDelete
  18. wabongo wanapenda kuchonga, ndio maana sitaki hata wanijue na huku nilipo(Virginia) nikijitambulisha huwa nasema natokea south Africa,habari ndio hiyo

    ReplyDelete
  19. Sun Aug 01, 03:33:00 AM annon wewe

    nimecheka kama kichaa daaaa

    ReplyDelete
  20. kweli jay kisanii unakubalika ila tatizo kuvaa ni 0,hauko kama msanii uko kma baba fulani wa nyumbani nyumbani vile,jitahidi kuvaa.

    ReplyDelete
  21. YAANI WATANZANIA BWANA ETI WATU NI HAO HAO..SASA POINTS NI KWAMBA..TO BE A PROMOTER SIO KAZI RAHISI.KWANI WANGAPI WAMESHINDWA..KAMA WEWE HAUTAKI KUWAONA HAO HAO KILA SIKU BASI NAWEWE KUWA PROMOTER,CHUKUA RISK YA KUWEKA PESA ZAKO ALAFU UTULETEE WASAINII AU UPROMOTE PARTY KWA GHARAMA ZAKO..WATU HAO WANACHUKUA RISK,THEY USE THEIR OWN CASH MONEY KUMLETA ARTIST ILI MJE MFURAHIKE,ALAFU BADALA YA KUSHUKURU NYIE MNAPONDA,KAMA WEWE HUPENDI BASI TANGAZA JINA LAKO TULETEE BURUDANI.UNAKALIA KUITA WATU MAJINA ETI MJELA JELA NA TAPELI..KAULI HIYO INAONYESHA WEWE HATER.WE KALIA KUHATE WENZIO WANASONGA MBELE.WE NEED TO SUPPORT EACH OTHER TANZANIANS NDO MAANA HATUENDELEI...KAMA NI TAPELI JE ALIKUTAPELI NINI?AU KAMA MTU ALIENDA JELA KWANI WEWE INAKUHUSU NINI..YOTE MAISHA TU WANGAPI WAMEENDA JELA WAKATOKA ALAFU THEY ARE LIVING BETTER LIFE KUPITA WEWE AU NDO MAANA UNA HATE?KAMA UTAPELI HATA BP INATAPELI WATU...DC PROMOTERS MSIKATISHWE TAMAA NA HAO FEW HATERS KEEP DOING WATCHU DOING SO FAR YOU GUYS ARE DOING GREAT JOB..WE WILL ALWAYS CONTINUE TO SUPPORT YOU GUYS...
    Mtanzania DC

    ReplyDelete
  22. Nimependa hiyo maana dc mtu akijamba basi anaamniwa ameharisha. Hivi watu hamjui maendeleo nini! Jaribuni kubuni mbinu za kutafuta pesa sio kubuni mbinu za kujungia watu. Mdau alie kuwa anaishi DC . Sasa yuko bongo.

    ReplyDelete
  23. mhh mbona hiyo comment ya mdau hapo juu( watu hao hao) imewatouch namna hii??hhahah lol!

    MDAU duniani

    ReplyDelete
  24. mdau duniani....ata mimi nashanga
    imegusa watu kishenzy,jamani msipapalike ivo mwisho mpaliwe ma-hambaga na junk foods zetu,au radha sifuri na ili box letu uku si mwajua ata kulala nouma?

    hahahahaa

    ReplyDelete
  25. wewe ulio comment kuhusu promoter tapeli inaonyesha upeo wako mfupi sana, nasema hivyo kwakuwa umeandika " mjera jera" with R , poor u,umesoma hadi la ngapi wewe?maana hata darasa la tatu wanajua wapi pa kuweka R wapi L,ndio nyie mnawapa walimu stress bureeee...yani hata kiswahili kinakushinda kingereza nahisi ndio balaa ukiongea hadi unarusha mate na kujing'ata. kanyooshe kiswahili kwanza alafu ndio uje hapa kuandika comment

    ReplyDelete
  26. you who wrote "mjera jera" please find me I will link you with swahili teachers for a little "polish", shame on u !!

    ReplyDelete
  27. Anon: Tarehe Mon Aug 02, 03:21:00 AM, ni MPUMBAVU!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...