Home
Unlabelled
Professor Jay Atinga Washington,DC tayari kwa makamuzi Zanzibar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jay namkubali ki sanii hila appearance 0 !! ajuhi kujipenda na na kujiweka poa !!
ReplyDeleteNaombeni ufafanuzi wa kichwa cha habari. Ametua washngton DC, tayari kwa makamuzi Zanzibar?????,.. Ni kwamba sikuhizi Zanzibar inaitwa Washington DC? au huko Washington kuna sehemu inaitwa Zanzibar?? sielewi, naombeni msaada.
ReplyDeleteNDIYO KUNA KA CLUB KWA WA-ETHIOPIA KANAITWA ETI-ZANZIBAR.
ReplyDeleteYES..WASHINGTON DC,USA KUNA CLUB INAITWA ZANZIBAR..IKO KWENYE MAJI..AYT!
ReplyDeleteJay Jifunze kuvaa vizuri kwa sasa maana watu tunanunua show zako kwa muonekano wako
ReplyDeletekweli wadau hapo juu mmenena !msanii si kushika kipaza tu kaka nenda gym basi weka mwili safi acha huroho wa pombe za dezo! pia tafuta mtu wa kukushauri cha kuvaa kwani unaonekana katika swala la kuvaa hujuhi kitu na .!! una vaaga ma t-shirt yako ya bling bling ma kubwa utazani chinga pia !! wewe mtu mzima sana sasa vaa kiheshima
ReplyDeletehivi hapo DC. huwa hakuna watu wengine ? naona wakati wote ni watu hao hao ambao tumekwisha wazoea yaani akina majera jera, tapeli na wengine kibao. na wanawake ni hao hao yaani akina Msaada, mapokeo na Mama huruma.
ReplyDeletemdau wa Sun Aug 01, 03:33:00 AM wacha utani eti wanawake akina msaada, mapokeo na mama huruma, hivi haya majina umeyapata wapi? yaani umekaa week end yako ukaja na kali hii!
ReplyDeletewatu bwana, hivi mtu huoni aibu ku post comment eti watu wanatokea hao hao, tokea na wewe basi au una mind kwa kuwa wewe sura yako mbaya ndio maana hujawekwa
ReplyDeleteJaneth DSM
naona watu wanampa shavu Prof Jay DC, si mchezo!! naona dada zetu pia in the house, gud!!nimeipenda!!
ReplyDeleteSammy
waaaaaatu bwana yani hata wenzenu wakitokea ktk blog mna mind.........!! so funny!! n shame
ReplyDeletewa UK
nasika kuna watu wanawaomba wamiliki wa blog waweke picha zao ktk blog alafu hata hawawekwi, ndio maana wanakasirika kuona wengine wanawekwa,tena mbaya zaidi kila wakati wanawekwa duh,kaaaazi kweli kweli!!
ReplyDeletemtanzania wa sweden
jamani watanzania acheni chuki,mastaa always ni wachache, ndio maana hata kwenye habari wanatokea hao hao kwa saaaaaana!!!
ReplyDeleteJimmy
ingekua mi ndio michuzi ningekua na edit comment nikiona imekaa ki bifu na chuki siweki,au kumkashifu mtu bila sababu.coz kuna watu wako radhi hata kuandika uongo ili kumchafulia mtu jina kisa chuki binafsi
ReplyDeletekuna habari kibaaaaaao ktk blog ya michuzi,kwahiyo ukiona kuna habari ina ku bore au ukiona picha wanatokea watu hao hao kila siku unaweza ukairuka ukaangalia vitu vingine,hujaombwa uwaangalie,but pia pole sana utabaki hivyo hivyo,
ReplyDeleteushauri wa bure: wivu unaleta vidonda vya tumbo na stress jiangalie....!! utakufa bure
Seif
watanzania tutaendelea kuwa nyuma siku zote,mfano mzuri huu hapo juu mtu ana comment watu kutoke hao hao,kwanza sijui haoni hiyo picha ya hao wadada hata hawakuangalia kamera walikua ktk mazungumzo na sio kwanza waliweka pozi wakapania kupiga picha itoke ktk blog,msiwalaumu wao,walaumu walippiga picha na kuiweka
ReplyDeletemti wenye matunda always ndio unarushiwa mawe,so mkiona mtu anapondewa humu ktk blog ujue haters tu hao.
ReplyDeletewabongo wanapenda kuchonga, ndio maana sitaki hata wanijue na huku nilipo(Virginia) nikijitambulisha huwa nasema natokea south Africa,habari ndio hiyo
ReplyDeleteSun Aug 01, 03:33:00 AM annon wewe
ReplyDeletenimecheka kama kichaa daaaa
kweli jay kisanii unakubalika ila tatizo kuvaa ni 0,hauko kama msanii uko kma baba fulani wa nyumbani nyumbani vile,jitahidi kuvaa.
ReplyDeleteYAANI WATANZANIA BWANA ETI WATU NI HAO HAO..SASA POINTS NI KWAMBA..TO BE A PROMOTER SIO KAZI RAHISI.KWANI WANGAPI WAMESHINDWA..KAMA WEWE HAUTAKI KUWAONA HAO HAO KILA SIKU BASI NAWEWE KUWA PROMOTER,CHUKUA RISK YA KUWEKA PESA ZAKO ALAFU UTULETEE WASAINII AU UPROMOTE PARTY KWA GHARAMA ZAKO..WATU HAO WANACHUKUA RISK,THEY USE THEIR OWN CASH MONEY KUMLETA ARTIST ILI MJE MFURAHIKE,ALAFU BADALA YA KUSHUKURU NYIE MNAPONDA,KAMA WEWE HUPENDI BASI TANGAZA JINA LAKO TULETEE BURUDANI.UNAKALIA KUITA WATU MAJINA ETI MJELA JELA NA TAPELI..KAULI HIYO INAONYESHA WEWE HATER.WE KALIA KUHATE WENZIO WANASONGA MBELE.WE NEED TO SUPPORT EACH OTHER TANZANIANS NDO MAANA HATUENDELEI...KAMA NI TAPELI JE ALIKUTAPELI NINI?AU KAMA MTU ALIENDA JELA KWANI WEWE INAKUHUSU NINI..YOTE MAISHA TU WANGAPI WAMEENDA JELA WAKATOKA ALAFU THEY ARE LIVING BETTER LIFE KUPITA WEWE AU NDO MAANA UNA HATE?KAMA UTAPELI HATA BP INATAPELI WATU...DC PROMOTERS MSIKATISHWE TAMAA NA HAO FEW HATERS KEEP DOING WATCHU DOING SO FAR YOU GUYS ARE DOING GREAT JOB..WE WILL ALWAYS CONTINUE TO SUPPORT YOU GUYS...
ReplyDeleteMtanzania DC
Nimependa hiyo maana dc mtu akijamba basi anaamniwa ameharisha. Hivi watu hamjui maendeleo nini! Jaribuni kubuni mbinu za kutafuta pesa sio kubuni mbinu za kujungia watu. Mdau alie kuwa anaishi DC . Sasa yuko bongo.
ReplyDeletemhh mbona hiyo comment ya mdau hapo juu( watu hao hao) imewatouch namna hii??hhahah lol!
ReplyDeleteMDAU duniani
mdau duniani....ata mimi nashanga
ReplyDeleteimegusa watu kishenzy,jamani msipapalike ivo mwisho mpaliwe ma-hambaga na junk foods zetu,au radha sifuri na ili box letu uku si mwajua ata kulala nouma?
hahahahaa
wewe ulio comment kuhusu promoter tapeli inaonyesha upeo wako mfupi sana, nasema hivyo kwakuwa umeandika " mjera jera" with R , poor u,umesoma hadi la ngapi wewe?maana hata darasa la tatu wanajua wapi pa kuweka R wapi L,ndio nyie mnawapa walimu stress bureeee...yani hata kiswahili kinakushinda kingereza nahisi ndio balaa ukiongea hadi unarusha mate na kujing'ata. kanyooshe kiswahili kwanza alafu ndio uje hapa kuandika comment
ReplyDeleteyou who wrote "mjera jera" please find me I will link you with swahili teachers for a little "polish", shame on u !!
ReplyDeleteAnon: Tarehe Mon Aug 02, 03:21:00 AM, ni MPUMBAVU!
ReplyDelete