Home
Unlabelled
PWEZA PAULO ATABIRI MATOKEO YA FAINALI KOMBE LA DUNIA?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kawaida huyu Pweza huwa anawamislead wanaomwamini kwenye mechi ya mwishi ya fainali. hata Euro 2008 alitabiri kuwa Germany ataifunga Spain ikawa tofauti.
ReplyDeleteNdugu zanguni ninawapa utabiri toka Nyangumi mla pweza kuwa kikome hiki cha dunia kinachukuliwa na Spaniards. Barcelona lazima wachukue ushindi j2 kama hutaki njoo ubishe jumatatu ijayo
nawapenda NL lakini sipendi kabisa hizi imani ashindwe kabisa huyo pweza
ReplyDeleteNimeiona hiyo toka jana, lakini wajerumani wenye pweza huyo mbona wanasema utabiri huo utafanyika leo? Hebu tupeni source ya hiyo habari na picha kama sio photoshop!
ReplyDeleteKaka hii video yako inatupa taarifa tofauti unesema pweza ametabiri kuwa the Netherland will win the final, wakati cnn wametuma breaking news wamesema Paul the octopus predicts Spain to beat the Netherlands in Sunday's 2010 World Cup final.[cnn.com]Which is which?? huyu pweza nimeanza kumwamini maana mechi iliyopita alitabiri germany watafugwa na ilikuwa hivyo.
ReplyDeleteKaka Michuzi amechagua Spain not Netherlands!
ReplyDeleteMichuzi sio kila ukionacho Youtube una post...usiwe kama Global publishers,This is fake, Octopus hakuitabiria Netherland ushindi.
ReplyDeleteCNN Tells the other way round
ReplyDeleteHii ni picha feki Michuzi. Hiyo kitu bado hajafanya. Itapatikana video siyo picha ya mgando kama hii.
ReplyDeleteMzozaji.
Hi Ankal,
ReplyDeleteUkweli wa utabiri wa huyo Pweza kuhusu mechi ya fainali ya Kombe la Dunia unapatikana hapa:
http://news.bbc.co.uk/go/em/fr/-/2/hi/world/europe/10566287.stm
Mdau (Masaki)
Kama Paul Kachagua Spain this time amelamba dume. Spaniards ni mabingwa fainali ilikuwa kati ya Germany V Spain na mshindi wa mechi ile ndiyo atashinda j2.
ReplyDeleteNyangumi mla pweza
Wadau ni kuwa wakati wajerumani wana Pweza Paul ambae ametabiri kuwa Spain ndio itashinda na waholanzi (Holland)
ReplyDeletewameanzisha Pweza wao ambae wanamuita Paula ametabiri kuwa wao Holland ndio watashinda. kiufupi Michu ameweka clip ya (Paula) waholanzi baaya ya ile ya Paul pweza aliyezoeleka wa Ujerumani.
mdau Pakacha la Siri.
nyie anonys wa juu wote natamani niwatukane,hebu angalieni hiyo video vizuri na someni maneno yake, au ndio mmekimbia shule?
ReplyDeleteoffcourse waliyotengeneza hiyo video watakuwa ni wadachi ili kupingana na huyo paul kwamba hata iweje netherland watashinda,kuna mzalendo wa netherland ameitengeneza hiyo kama kuwapa moyo wenzake na ktofautiana na paul(octopus)ila sio kama ilivyotabiriwa. mnapenda kweli kulalamika wakati hata hamkaelewa jokes imesemaje
MANYUNYU
Haya sasa madhali hichi kitu anafanya mzungu anaonekana yuko right lakini ingekua anywhere else in africa watu wangesema kama watu bado wana itikadi za kishirikina. Haha kumbe na hiyo mizungu nayo mijinga
ReplyDeleteWadau mimi nina swali la kizushi...
ReplyDeleteHivi huyu Paul(Pweza) na uumarufu wake si kama tu Paulo wa hapa BLOGU YA JAMII aka Mjomba Paulo? Au mnasemaje... Wenye majina ya Paul balaa...