Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2010

    Kwa kawaida huyu Pweza huwa anawamislead wanaomwamini kwenye mechi ya mwishi ya fainali. hata Euro 2008 alitabiri kuwa Germany ataifunga Spain ikawa tofauti.

    Ndugu zanguni ninawapa utabiri toka Nyangumi mla pweza kuwa kikome hiki cha dunia kinachukuliwa na Spaniards. Barcelona lazima wachukue ushindi j2 kama hutaki njoo ubishe jumatatu ijayo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2010

    nawapenda NL lakini sipendi kabisa hizi imani ashindwe kabisa huyo pweza

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2010

    Nimeiona hiyo toka jana, lakini wajerumani wenye pweza huyo mbona wanasema utabiri huo utafanyika leo? Hebu tupeni source ya hiyo habari na picha kama sio photoshop!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2010

    Kaka hii video yako inatupa taarifa tofauti unesema pweza ametabiri kuwa the Netherland will win the final, wakati cnn wametuma breaking news wamesema Paul the octopus predicts Spain to beat the Netherlands in Sunday's 2010 World Cup final.[cnn.com]Which is which?? huyu pweza nimeanza kumwamini maana mechi iliyopita alitabiri germany watafugwa na ilikuwa hivyo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2010

    Kaka Michuzi amechagua Spain not Netherlands!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2010

    Michuzi sio kila ukionacho Youtube una post...usiwe kama Global publishers,This is fake, Octopus hakuitabiria Netherland ushindi.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2010

    CNN Tells the other way round

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2010

    Hii ni picha feki Michuzi. Hiyo kitu bado hajafanya. Itapatikana video siyo picha ya mgando kama hii.

    Mzozaji.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2010

    Hi Ankal,

    Ukweli wa utabiri wa huyo Pweza kuhusu mechi ya fainali ya Kombe la Dunia unapatikana hapa:
    http://news.bbc.co.uk/go/em/fr/-/2/hi/world/europe/10566287.stm

    Mdau (Masaki)

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2010

    Kama Paul Kachagua Spain this time amelamba dume. Spaniards ni mabingwa fainali ilikuwa kati ya Germany V Spain na mshindi wa mechi ile ndiyo atashinda j2.

    Nyangumi mla pweza

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 09, 2010

    Wadau ni kuwa wakati wajerumani wana Pweza Paul ambae ametabiri kuwa Spain ndio itashinda na waholanzi (Holland)
    wameanzisha Pweza wao ambae wanamuita Paula ametabiri kuwa wao Holland ndio watashinda. kiufupi Michu ameweka clip ya (Paula) waholanzi baaya ya ile ya Paul pweza aliyezoeleka wa Ujerumani.
    mdau Pakacha la Siri.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 09, 2010

    nyie anonys wa juu wote natamani niwatukane,hebu angalieni hiyo video vizuri na someni maneno yake, au ndio mmekimbia shule?
    offcourse waliyotengeneza hiyo video watakuwa ni wadachi ili kupingana na huyo paul kwamba hata iweje netherland watashinda,kuna mzalendo wa netherland ameitengeneza hiyo kama kuwapa moyo wenzake na ktofautiana na paul(octopus)ila sio kama ilivyotabiriwa. mnapenda kweli kulalamika wakati hata hamkaelewa jokes imesemaje
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2010

    Haya sasa madhali hichi kitu anafanya mzungu anaonekana yuko right lakini ingekua anywhere else in africa watu wangesema kama watu bado wana itikadi za kishirikina. Haha kumbe na hiyo mizungu nayo mijinga

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 10, 2010

    Wadau mimi nina swali la kizushi...

    Hivi huyu Paul(Pweza) na uumarufu wake si kama tu Paulo wa hapa BLOGU YA JAMII aka Mjomba Paulo? Au mnasemaje... Wenye majina ya Paul balaa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...