Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya (AY) akifanya vitu vyake jukwaani wakati wa tamasha la ” Sabasaba Concert “ lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom na kufanyika kwa siku mbili mfululizo Julai 6-7 kwenye viwanja vya Mwembeyanga wilayani Temeke, tamasha hilo lilishirikisha wasanii wa mbalimbali pamoja na bendi za muziki wa dansi.
Mwanamuziki wa muziki wa Kizazi kipya Bongofleva Selemani Msindi anayejulikana kama Afande Sele akiimba kwa hisia wakati wa tamasha la Sabasaba Concert lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga wilayani Temeke Julai 6-7 ambapo wasanii mbalimbali walishiriki ikiwa ni pamoja na bendi za muziki wa dansi.Wanamuziki wa bendi ya Akudo Impact wakicheza jukwaani wakati wa tamasha la “Sabasaba Concert “ ambalo liliandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga wilayani Temeke jijini Dar es salaam
Umati mkubwa wa watu ulijitokeza katika tamasha la Sabasaba Concert lililoandaliwa na Vodacom Tanzania ambapo watu walijipatia furusa ya kununua simu kwa bei nafuu na kuweza kusajili laini za simu zao pia .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...