Hey!
The Original WHITE PARTY-DAR is around the corner
So DAR-ES-SALAAM be prepared..
Above are few pics to remember the WHITE PARTY-DAR 2009,
And here we come again on 23rd JULY 2010 so please make
sure u got some WHITE STUFF so we make our party shine.
Remember.... DRESS OVER 50% WHITE AND PAY 20,000/-
DRESS LESS 50% WHITE o NONE-WHITE AND PAY 25,000/-
and without forgetting that LONDON we coming on
DRESS LESS 50% WHITE o NONE-WHITE AND PAY 25,000/-
and without forgetting that LONDON we coming on
7th AUGUST to down town LONDON
Stay Blessed
JayGONGA loves u BALAAAAA
Frank Mgoyo,Sr.
Stay Blessed
JayGONGA loves u BALAAAAA
Frank Mgoyo,Sr.
hizi party zinafana sana jamani. mwaka jana nilipata raha kweli, yaani nilistarehe na marafiki zangu wapendwa kupita kiasi. mwaka huu ndo itakuw akiboko tena, yaani i cant wait to get back home kusema kweli. na hii ndio ilioyomfanya gianti kunionea wivu hadi kuning'oa nywele akinionea wivu, mimi aisha senkoro mtu anitishi, niko juu na shosti wangu mange hatuwezi mtu. cant wait to be at my homeboy's parry JP hupo cutie, nakuja nisubiri huko huko. mastaa wanakuja kutoka kila sehemu yaani patakuwa hapakaliki kusema kweli, i love tz..
ReplyDeleteHii ni kuongeza mazingira ya watu kujamiiana tu. Hakuna lingine.
ReplyDeleteAnony 03:48:00 hebu acha uhabithi wako maana kila siku wewe umekuwa kajitu kamoja negative sana. sasa wewe hako kaMdudu kako kameziba????
ReplyDeleteUnakufuru!! mweny'ezi Mungu Subhana kakupa hako kamDudu ukatumie sana. kwa-heri,