Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akimkabidhi Zawadi ya Kinyago Naibu Waziri wa Mazingira wa Korea Jong Soo Yoon Mara Baada ya Mkutano wa Ushirikiano kuhusu Usimamizi wa Mazingira Baina ya Serekali Korea na Tanzania Uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Naura Mjini Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2010

    mbunge mtarajiwa wa arusha mjini

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2010

    UDUMU UDUGU KATI YA KOREA KASKAZINI NA TANZANIA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2010

    Hivi huyu muheshimiwa ameolewa? Nimekuwa naficha hisia zangu kwa muda mrefu, naomba msaada. Ananivutia kwa jinsi anavyojiheshimu na ukweli kwamba amekwenda shule.....

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2010

    Korea ipi michuzi? kuna kusini na kaskazini sio Korea tu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2010

    mdau wa hapo juu napenda kukufahamisha kuwa huyu muheshimiwa ana ndoa na DPP wa zanzibar..........cina mengi ni hayo tu kwa leo mdau wangu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2010

    mdau wa Sat Jul 31, 12:53:00 PM, asante kwa majibu. Mwenyezi Mungu aibariki ndoa yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...