wadau Abraham na Desta wakichati wakati wa kumeremeta kwao wikiendi ilopita katika kanisa la mtakatifu Petro jijini Dar na baadaye kwenye mnuso wa nguvu ukumbi wa Diamond Jubilee hall VIP
Abraham na Desta wakiingia kanisani kumeremeta.
Picha zaidi nenda kwa Jide

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hongera Ibra, na sisi tutafuata Nyayo zako karibuni. ila ukumbuke kurudisha kadi ya Ukapera kwa Katibu mkuu kwa ajili kuaanga rasmi chama ulichotuachia. thanks

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Kaka kwa ndoa.. sanaaaa

    ReplyDelete
  3. Ibra na Mamsap,

    Kila la kheri kwenye maisha ya Ndoa. Mungu abariki nyumba yenu.

    Soames,
    Reading, UK.

    ReplyDelete
  4. KAKA IBRAAA BONGEEE HONGERA SANA MZEEE DAAAAH SIKUEPO LAKINI TUKO PAMOJA SANA

    SIR FRENJE

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Ibra na Mamsap.

    John,
    Sweden.

    ReplyDelete
  6. jamani anaitwa abraham nani na desta nani manake naona ni bonge la harusi ya kukata na shoka na vingunge ndani

    ReplyDelete
  7. HUYU KAKA NI ABRAHAM NANI NA DESTA ALIKUWA MISS NANI. YOU GUYS MAKE A GOOD COUPLE CONGRATULATIONS. MAY THE LORD BLESS YOU.

    ReplyDelete
  8. u guys looking so awesome cant even comment....may god gives u a long term peaceful and happy ever Marriage.Collins!(The Designer of your Invitation Cards)

    ReplyDelete
  9. Jamani Huyu ni Ibra wa KIU? Duuuh kama ndiye nakupa Hongera sana mtu wangu bora sasa nawe uwe baba Saluteeeeeeeeeeeee,Nasikitika tu siwaoni wana KIU ktk picha wakikupa shavu
    Theddy!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...