Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. dah!eti kasamehewa ada teheheeeee,.ayoub unajimegea

    ReplyDelete
  2. huyu anachekesha au ana hutubia ?

    ReplyDelete
  3. Bado sijacheka !!

    ReplyDelete
  4. He need more material & research,na waandishi wazuri zaidi wa comedy zake na wamsaidie kwenye delivery,hes good though lakini nampa 60% ila ana big potential akiamua kuwa more professional.

    ReplyDelete
  5. top tanzania stand up comedian? oh my god ikiwa huyu ndio top of the crop basi bora hata tusimjadili.

    Mimi naona anapiga kelele tu, tena naona zaidi kama anatowa hutuba. Nimesikiliza hadi mwisho na sijacheka hata mara moja.

    Comedian ni talent na sio kila mtu anainuka na kuweza kuifanya. Comedy inahitaji story, punch na involvement ya audience.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...