New England Umoja imeandaa show
kabambe ya kukata na shoka ya Professor Jay ...
akitumbuiza "live" katika ukumbi wa:

MELROSE MASONIC TEMPLE
326 MAIN STREET
MELROSE, Mass.

Jumamosi tarehe 7 Agosti, 2010 kuanzia saa mbili usiku mpaka saa nane usiku.

Katika shughuli ya kuchangisha fedha kwa chama cha watanzania waishio New England yaani New England Umoja.
Kiingilio ni $15.00 in advance
na $20.00 mlangoni.

Shughuli ni watu na watu wenyewe ndio mimi na wewe karibu upate fleva za kibongo mwanzo mpaka mwisho.

Kwa habari zaidi wasiliana na katibu wetu
bwana Salum Salum (617)308.2971

Tunatanguliza Shukran!
Isaac A. Kibodya, Esq.,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kah na wewe mthamini wako bado tu hajapata faida yake ! Rudi tu bongo !! unakosa ma nono bongo! show za uko mnalazimisha tu ku perform kwenye pub
    !!kah

    ReplyDelete
  2. wabongo kwa kuchonga,go Jay,usisikilize haters!!
    mdau USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...