Meneja wa bia ya Redd's, Kabula Nshimo (pili kulia) akikabidhi box la kilaji cha Redd's kwa baadhi ya warembo watakaoshiriki katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2010,mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kumtafuta balozi wa Redd's uliofanyika leo katika hoteli ya Giraffe Ocean View iliopo Mbezi beach.Kabula aliwaeleza warembo hao namna balozi wa Redd's anavyotakiwa kuwa pamoja na majukumu atakayokuwa nayo awapo balozi wa kinywaji hicho.
Warembo watakaoshitiki katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2010,wakimsikiliza mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania,Ankal Albert Makoye katika mkutano huo.
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja.

kwa taarifa kamili tembelea MichuziPost

BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. always nilijua miss temeke will rock the thing...since miss chang'ombe...keep tight lady...

    ReplyDelete
  2. hivi kwanini kina dada mpaka waweke nywele za mabandia? ingekuwa vizuri Miss tanzania awe na natural hair. maana hii sasa si itakuwa artificial miss Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...