Michuzi hii ndio hali ilivyo hapa wami sasa hivi ambapo semi trailer ilikua ikielekea chalinze imeshindwa kupandisha kilima cha mto wami ikarudi nyuma na kuziba njia. Mamia ya magari yamesimama na maelfu ya abiria wamesimama safari. Polisi wa trafiki wanaelekea kulemewa, ni utawala binafsi unaendelea hapa.

Bongo tambarare.
ReplyDeleteWhere are those engineers now? They need to give us a solution for this? We need an alternative route..That should be expected when you have only one main road to cross the town....You should pack your one day meal whenever you use any of these main routes...
ReplyDeleteSent from my iphone!!!
ReplyDeletend'o shida ya kutegemea barabara moja ambayo sisieemm wanaiita haiwei! Joooob true true.
ReplyDeleteChiaz Mchizi
TUMETENGENEZA BARABARA NYINGI SANA..TUANGALIE MAENEO MAFUPI LAKINI "YANAWAMALIZA/WAUWA WATU WENGI" PAMOJA NA KURUDISHA NYUMA MAENDELEO. YAYAFANYIE UTAFITI NA KUYAREKEBISHA.
ReplyDeletekaka michuzi kama Kikwete angekuwa anapita haponi dakika chache tu ajali hiyo imeondolewa, lakini kwa kuwa hakuna mkuu wa nchi anapita hata kama itachukua masaa 12 hakuna wasiwasi.
ReplyDeleteLakini je! waijua hasara inayopatikana kwa hawa watu kukaa muda mrefu wakati hujui matatizo yao? wakati kwa msafara wa kiongozi wa nchi kinaeleweka yupo kikazi.
Bro michuzi japo na wewe huna msimamo lakini unatakiwa uwe unaangalia masuala ya maendeleo badili ya kuwa unaleta mambo yako ya kisiasa tuu.
Bro nawa pole wale walio kwama katika uzembe wa HIYO BREAK DOWN ambayo natumaini hata Polisi huwa wanafurahia pale wanapopataa matokeo ya wizi kwa kuwa na wao huwa wanapata KIMGAWO KIDOGO, KATAA KAMA WEWE HUJUI SEMA TUKUAMBIE